Majina ya waliochaguliwa jkt

Majina ya waliochaguliwa jkt

Joined
Aug 28, 2013
Posts
33
Reaction score
4
Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema, mnaweza nisaidia kama mnataarifa ya barua inayosema tarehe 28 sept
 
Attachments

mwana nichekie huyu jamaa HAGAI MAVANZA
 
Duuuuu! Kumbe walirudisha hili jinamizi laitwa JKT? Kweli serikali hii ina pesa za mchezo
 
Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema, mnaweza nisaidia kama mnataarifa ya barua inayosema tarehe 28 sept

great thinker
 
haya ni majanga,mimi nawasubiri HESLB hawa ndo wana ninyima usingizi,mimi naona serikali inaogopa AL-SHAABAB na si vinginevyo.
 
TZ inaanza kupoteza mwelekeo ktk kila mambo na ule usemi wa mapinduzi yataletwa na vijana inaelekea kutimia cnc kadri muda unavyokwenda vijana waana funguka ikifika point ambayo they have nothing to lose hapo ndipo majanga
 
majina tutumie website gan? mapot 2saidiane
 
Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema, mnaweza nisaidia kama mnataarifa ya barua inayosema tarehe 28 sept

Mwana tafadhali nichekie Hamisi Shabani Hamisi..
 
Back
Top Bottom