Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
dah! nimeomba mkopo na nimekosa,yani roho imeniuma sana naona ningekuwa na moyo mdogo nw ningekuwa nimeshajitundika.nimekata kabisa tamaa ya maisha yani hadi nahisi kuchanganyikiwa,labda kama cjaona vizuri S0135/0147/2006
 
Polee mkuu mlango mmoja ukifungwa mwingine utafunguka tu
 
bodi walikuwa wananidai na wakanitaka nilipe 25% ya kiasi wanachonidai ambayo ilikuwa 1,057,000.nikahangaika sana kuitafuta nilikuwa ninaendesha bodaboda nikajiwekeza mpaka ikatimia na nikaenda kulipa na kutuma maombi ili nirudi chuo,bt at the end of the day nakuwa kama nilichokifanya ni kazi bure MKOPO WAMENINYIMA.roho inaniuma sana nilifikiria nimetafuta hela kwas tabu sana,nimekubali kujinyima vyote nisile vizuri,nisivae vizuri ili nirudi shule bt BODI WAMENITENDA VIBAYA SANA.Kiukweli imeniumiza sana i thought i was going to be a hero bt nw i just see lyk im a ZERO.walichonitenda bodi,katu sitowasahau
 
Mhh hapo sijakusoma ndugu kwani wewe ni muombaji wa mara ya kwanza mkopo na upo chuoni tayari?
 
Hawa watu wa bodi wanaposema :'did not secure' wanakuwa wanamaanisha nn?
wadau msaada wenu tafadhari
 
HAMIS WAMBURA.jamani mim mbona c elew mnitazamie kwa index namba hii s1624/0007/2005
 
wazee, salama?
inamaana waliopata mkopo kwa sasa ni wa mwaka wa kwanza tuu na wengine(wa mwaka wa pili na tatu) bado au inakuaje?
naombeni ufafanuzi kidogo
 
olas.heslb.go.tz
that should help, ingia hapo then utaingiza index number then kama umepata, wataleta break down ya mkopo, otherwise kuna ujumbe mfupi mwingi kama ujafanikiwa
 
sorry buddy, naona yako hayajakaa vizuri, kama vipi wafate pale mwenge kama upo dar,.......maana ujafanikiwa kwa index namba iyo
 
nipeni pole kwa kukosa mkopo. Naomba kujunzwa ofis za bodi ya mikopo zilipo nataka kufatilia. Wakanipe majibu ya uso kwa uso au kwa macho
 
pole sana amekosa mkopo kwa mmwaka wa masomo 2013/2014.ila unaweza kuhakiki usipoamini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…