Majina ya wanaCCM waliochukua fomu za Uspika

Hata JYN aliingia baada ya kupata uzoefu lakini hukuwa Spika Bora, alikuwa bora spika. Kati ya waliojitokeza, tukiwapanga kwa nani anaweza kutupatia spika bora, Dr. Tulia hata kumi bora, haingii!.
P
Naam, Dr. Tulia hajawahi kuwa Naibu spika bora, ni naibu spika wa kujipendekeza toka awali.

Kwa list ya hapo,
1. Andrew Chenge
2. Stphen Masele
3. Dr. Thomas Kashilillah
 
Kura kwa Zungu
Uzoefu na ustarabu wake unaendana hali ya sasa
Ni either tulia au chenge..
Emanuel nchimbi angefaa sana sema kastaafu siasa kaamua kuwa mkulima wa choroko,,,,
 
Naye alichukua form?
Huyo hapo
IMG-20220114-WA0002.jpeg
 
15 January 2022

WANACHAMA 71 CCM WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA USPIKA WA BUNGE

Wanachama wa CCM Wanaume 60 na kinamama ni 11 ndiyo wamefanikiwa kuchukua fomu. Zoezi la kuchukua fomu kupitia CCM limefungwa rasmi jioni hii tarehe 15 January 2022.
 
Hata JYN aliingia baada ya kupata uzoefu lakini hukuwa Spika Bora, alikuwa bora spika. Kati ya waliojitokeza, tukiwapanga kwa nani anaweza kutupatia spika bora, Dr. Tulia hata kumi bora, haingii!.
P
Tulia ataingia hapo hujafanya analyisis vizuri

Jina la mwanamke lazima liwemo na yeye ndie mwenye CV nzuri upande wanawake

Nakuelewa najua unampigia kampeni fisadi Change

Chenge awe spika no please
 
Chenge ni mtu sahihi kabisa kwenye nafasi hiyo.
 
OMBI;- CCM ISIINGILIE KATIKA KUKATA WATU,BUNGE LENYEWE LIMPATE SPIKA WAKE KWA NJIA YA KURA,KILA MMOJA AJIELEZE,AND THEN WAPIGIWE KURA,KWA MIZUNGUKO MITATU KATIKA KUMPATA SPIKA (NAOMBA WAIACHIE DEMOKRASI ITAWALE KATIKA KUMPATA SIPIKA)
 
Hata JYN aliingia baada ya kupata uzoefu lakini hukuwa Spika Bora, alikuwa bora spika. Kati ya waliojitokeza, tukiwapanga kwa nani anaweza kutupatia spika bora, Dr. Tulia hata kumi bora, haingii!.
P
Subiri akuite bungeni kwenye tume ya maadili kwa kukidhalilisha kiti cha naibu
 
OMBI;- CCM ISIINGILIE KATIKA KUKATA WATU,BUNGE LENYEWE LIMPATE SPIKA WAKE KWA NJIA YA KURA,KILA MMOJA AJIELEZE,AND THEN WAPIGIWE KURA,KWA MIZUNGUKO MITATU KATIKA KUMPATA SPIKA (NAOMBA WAIACHIE DEMOKRASI ITAWALE KATIKA KUMPATA SIPIKA)
Hao wanagombea kupitia CCM, kwa hiyo wakatwe abaki mmoja ili akapigiwe kura na wabunge (pamoja na wagombea wa vyama vingine)
 
Tulia ataingia hapo hujafanya analyisis vizuri

Jina la mwanamke lazima liwemo na yeye ndie mwenye CV nzuri upande wanawake

Nakuelewa najua unampigia kampeni fisadi Change

Chenge awe spika no please
Tulia nahisi hana uhakika na nafasi ya uspika ndio maana hajaachia unaibu
 
Back
Top Bottom