Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
toa mfano ambao wizara iliwah toa tangazo na haikutoa majibu kwa walioomba na kumbk nacte na wizara wanawacliana tena kwa hyo kitendo cha kubadilisha kuona mtu apelekwe koz inayomfaa inawezekana
 
hv ni kweli mt aliyepata div4.32-34 na akaapply ualimu hachaguliwi??,
 
jaman hv ni kwel kwa walio apply ualimu na kupata div 4 hawachaguliwe kujiunga na vyuo vya ualimu?? au utaratibu ukoje??

Mkuu mbona hueleweki unachouliza.?, walio apply na kupata div.4...kumbe siku hizi mki-apply mnapewa na division..?
 
jamani,,watu wengi tnaumiza vichwa kwa posti zilizotelewa hv punde (stashahada) je? kwa walio apply kwa ngazi ya cheti post zao zitatolewa??
 
Tatizo wengine humu ndani ni vibendera fuata upepo kuna matangazo mawili moja stashaada na lingine ngazi ya cheti kwa iyo wote walio pata four4 majina ayajatoka na sio mda mrefu yanatoka na wataenda chuo nao
 
Yap mkuu cz zilizo toka na stashahada kwa walio pata 1ad 3 na walio maliza six na wengine wapo in service kwa iyo vuta subila ngazi ya cheti ni lazima yatokebna kumbuka kama unaangalia matangazo kuna matangazo mawili moja la stashahada na lingine ngazi ya cheti lkn wote ni ualimu uo uo
 
daaah! asante sana BLACK HUNTER inabidi tupate wat kma wewe wenyeuelewa wa mambo,,sio vishoka wengne haw
 
Mkuu black,, umenipa mwanga na matumain coz tlishakata tamaa kabisa..ila asante sana ningependa nipate mawasiliano na weye namb zngu 0758082840
 
Zitatoka tu, kwa sababu wengine walisha anza masomo hayo private kwa ngaz ya cheti, hivyo subir tu
 
Jamani fanyeni msaada kuangalizia mtu jina kwenye stashahada ya elimu ya awali, ameangalia pote bado hapo tu ameshindwa kufungua mtandao unasumbua
jina; MUHIDINI S MAKUKULI

Kama una whatsapp nipe namba yako nikutumie majina yote ujianglizie mwenyewe, ila simu yako iwe na adobe reader
0655817116
 
toa mfano ambao wizara iliwah toa tangazo na haikutoa majibu kwa walioomba na kumbk nacte na wizara wanawacliana tena kwa hyo kitendo cha kubadilisha kuona mtu apelekwe koz inayomfaa inawezekana

Mkubwa wape shule hao waelewe mana ni walimu wa awali, vitoto au chekechea. NACTE bwana! kazi kweli kweli
 
ndugu zangu nisaidien kunichekia jina hl MZUNGU MEIVUKIE NO S0977.0043.2007 nijue nimepangiwa wapi?mana niliomba diploma ya ualimu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…