Ninachokumbuka ni kuwa wakati Application zinafanyika zilikwelo za Aina kadhaa,1:Cheti ualimu awali2:Cheti ualimu msingi3:Cheti ualimu msingi(Bridging kwa dv 4)4:Stahashahada msingi...kwa inservice Teachers)5:Stahashahada SekondariNa hawa ilikuwa unaweza Apply Moja kwa moja Wizarani au Nacte.Lakini mwanzoni System ya Nacte ilikuwa haina Sehemu ya kuapply ualimu.Ila badaye likatoka Tangazo la kuapply diploma special kwa Sayansi.Hii ndiyo ilikuwa inapatikana Kupitia Nacte online Application.Sasa haya matokeo yaliyotoka kidogo kidogo ni ngumu kujua kuwa tayari yote yameshatoka au bado.Kwa mtizamo wangu naona bado kuna majina mengine kutangazwa.Hasa walioapply moja kwa moja wizarani.Asanteni