Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Serikali bange ndo hii... Mwenye nacho ndo anathaminiwa... Masikini tutasubiri sanaa...
 
Jaman kama kuna mwenye tetesi kuhusu majina ya wanafunzi watakao jiunga na vyuo vya ualimu yanatoka lini naomba anijulishe,mahana nili2ma kama mwanafunzi wa prvt sijuhi nitashughulikiwa!!maana elimu ya tz daah!! MUNGU NISAIDIE!

we ngedere jifunze kuandika 'title' inayoendana na content! Shenzy typ!
 
Sorry jamani,msaada wa namba za headmasta wa tinde high school jamani mwenye nazo anisaidie.
 
Jamani nahitaji msaada wenu wa hali na mali.

Niliappy certificate ya ualimu mwaka huu vyuo vya serikali na private sasa kwa bahati mbaya sioni majina ya waliochaguliwa zaidi ya wale wa diploma. Na nikipita mitandaoni naona kama wenzangu wanafurahi wameyaona.

Tafadhali naomba msaada nipatiwe majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya ualimu mwaka 2014/2015 Mungu awabariki kwa kunisaidia.
 
Mdogo wangu majina hayajatoka bado ila kwa taarifa tu ni kwamba watakaochaguliwa watajiunga na mafunzo hayo kuanzia tarehe 6/10 mwaka huu...

Mafunzo hayo yatakuwa no diploma in primary education. Asilimia kubwa itakuwa ni diploma in early childhood education kwa ajili ya elimu ya msingi.
 
kwahiyo diploma in secondary education wanaenda watu gani na wenye vigezo gani????
 
Minaweza Kusema Nilipigiwa Cm Na Mmoja Wa Chuo Cha TARIME Kuwa Nimechaguliwa Pale Na Huyo Mkuu Ana Majina ,hlikuwasaidia Na Wenzangu Nimemwambia Hanitumie Kwenye Email Yangu Hli Niyasambaze, Real, Mpaka Mda Huu Nayasubiri Hakiyatuma2 Naweka Mtandaoni,
 
Mkuu acha kutuweka roho juu juu
 
Majina yataandaliwa na wizara pia yatawekwa kwenye tovuti yao ili kila mmoja aangalie, hapo ndo utajua umepangiwa wapi. habari za nimepangiwa tarime hizo ni faraja tu couz post zimechelewa, kwani huyo mkuu ni nani kwenye wizara ya elimu? acheni kutudanganya tuacheni tusubirie post kwa aman au vp m2 mzima ismailly. ACHA MBWEMBWE BENJA, mkuu wetu shakuru 'kawa' mbwa mwingine fotocopy
 
Mkuu acha kutuweka roho juu juu

Dangerm, hakuna cha roho juu hapa. huyu jamaa MASATU katudharau kweli aisee. Mkuu wa chuo chochote ni wakupewa taarifa kwamba pokea wanafunzi wafuatao ktk chuo chako na ni lazima atumie orodha ileile ilioandaliwa na wizara na si vinginevyo, huyo ameitolea wapi orodha kama wizara bado haija release? halafu kwanin awe mkuu wa tarime tu? intergrate ur brain brother u will understand the truth or falsity of MASATU's post
 
Last edited by a moderator:

Na Ndio Maana Nikamwambia Kama Nikweli Hazitume Kwenye Email Yangu, Relax Mi Nitawajurisha Wa Jf Nakama Kitakuwa Kweli, Hyo Namba Nitaiweka Hadharani
 
Last edited by a moderator:
Dangerm, hakuna cha roho juu hapa. huyu jamaa MASATU katudharau kweli aisee. Mkuu wa chuo chochote ni wakupewa taarifa kwamba pokea wanafunzi wafuatao ktk chuo chako na ni lazima atumie orodha ileile ilioandaliwa na wizara na si vinginevyo, huyo ameitolea wapi orodha kama wizara bado haija release? halafu kwanin awe mkuu wa tarime tu? intergrate ur brain brother u will understand the truth or falsity of MASATU's post

Societ Cool Broh ,,hli Mimi Kujua Kama Ni Za Ukweli Na Ndio Maana Nikamwambia Hatume Kwe Mail Yangu,,
 
Last edited by a moderator:
wadau ni kweli kwamba wakuu wa vyuo hutumiwa majina kabla ya kuachia kwenye mtandao kisha unatumiwa joining kabla hujaipokea ndo yanaachiwa hewani
 
Imekuwa kero kubwa kwangu maana ninawadogo zangu wawili walifanya application na mpaka now hatujui nini kinaendelea
 
Societ Cool Broh ,,hli Mimi Kujua Kama Ni Za Ukweli Na Ndio Maana Nikamwambia Hatume Kwe Mail Yangu,,

Ucwaze bwana kaka BENJAMINI MASATU, Nakueshimu sana broh. we have to be patient ministry of education and vocational training (moevt) will release soon.. nice moment is coming!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom