Abdul,Riziwani,Miraji,Kupitia thread hii tuwatambue wanasiasa vijana ambao wametulia lakini wakiwa na haiba ya Urais kwa miaka ijayo.
Weka majina hapo chini...
Umeanzisha Uzi wa vijana,usijaribu kumtaja February hamna kiongozi pale. Pale kuna tamaa.Kupitia thread hii tuwatambue wanasiasa vijana ambao wametulia lakini wakiwa na haiba ya Urais kwa miaka ijayo.
Weka majina hapo chini....
Fungua box angalia kote hadi upinzaniUmeanzisha Uzi wa vijana,usijaribu kumtaja February hamna kiongozi pale. Pale kuna tamaa.
Pia Usijaribu kumtaja ridhi1 hatuko kifalme. Japo ukiongea nae nje ya siasa ni mtu sana. Lakini kuwa kiongozi bora ilitakiwa aanze kujitengeneza sasa huko kwenye jimbo kuwa muungwana kwa kuruhusu democracy kwenye jimbo lake. Ni ushamba na ni kwa nchi hii tu mtu kupita bila kupingwa.
Pia msimuingize miguru mtahama nchi. Wote hao ni big No
Denis NkaneKupitia thread hii tuwatambue wanasiasa vijana ambao wametulia lakini wakiwa na haiba ya Urais kwa miaka ijayo.
Weka majina hapo chini....