Majina ya Wanasiasa vijana wenye utulivu na ambao wanaweza kuupata Urais 2030+

Majina ya Wanasiasa vijana wenye utulivu na ambao wanaweza kuupata Urais 2030+

Wapo wengi sana ,sema ndio hivyo tena deep state aka wanamtandao tumeshaambiwa na Polepole ndio wenye maamuzi nani awe kwa ajili ya kulinda interests zao kumbe haina maana yeyote kukamia urais nchini.
 
Ukiacha zifa za msingi kama umri, elimu, hautaji sifa yoyote ya ziada kuwa Rais TZ, yeyote anaweza kuwa rais.
 
Issue sio kuwa Rais, issue ni kuleta matokeo.

Kuiongoza nchi kama Tanzania na ukaitoa hapa ilipo unahitaji kuwa na vigezo kama vya Putin, namaanisha kuleta matokeo sio ili mradi uwe Rais tu.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Back
Top Bottom