Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
5,771
Reaction score
17,849
Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji.

Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo".

Nitatoa mifano:

1. Majina yasiyo na mvuto: Zuchu, Mbosso, Matonya, Mrisho Mpoto, Mwasiti, Chino Wanaman,Young Lunya, Nikki wa Pili, Kalapina, Dudu Baya, Young Killer Msodoki, Afande Sele, Mheshimiwa Temba, Shilole, Benjamin wa Mambo Jambo nk

2. Majina yenye mvuto: AY, Nakaaya, RosaRee, RayC, Rayvanny, Baisa, Nandy, Joslin, Darassa, Dully Sykes, JD, Sugu, Feza, Linex, Nako2Nako, Stamina, KR nk

We unaona ni jina gani bora/bovu la msanii wa bongo?

NB: Msanii anaruhusiwa kubadilisha jina so ushauri huu unaweza kuwasaidia wasanii wetu kuji brand vizuri.
 
achana na Majina huyo Joslin yuko wapi siku hizi, kile kibao cha oooooh yaani soo nimepata mtoto toka kariakoo, Dully anavyojua kulalamika kibao kilibamba sana 2005-2006
 
achana na Majina huyo Joslin yuko wapi siku hizi, kile kibao cha oooooh yaani soo nimepata mtoto toka kariakoo, Dully anavyojua kulalamika kibao kilibamba sana 2005-2006
Kuwa na jina zuri ni jambo moja, kubaki kwenye fani ni jambo lingine kabisa..
 
Back
Top Bottom