Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msanii maarufu huko ruvumaNi nani huyo?
Mbona majina ya pande zote ni yaleyale, uliyoyaweka kwënyê mvuto hata hayanivutiBaadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji.
Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo".
Nitatoa mifano:
1. Majina yasiyo na mvuto: Zuchu, Mbosso, Matonya, Mrisho Mpoto, Mwasiti, Chino Wanaman,Young Lunya, Nikki wa Pili, Kalapina, Dudu Baya, Young Killer Msodoki, Afande Sele, Mheshimiwa Temba, Shilole, Benjamin wa Mambo Jambo nk
2. Majina yenye mvuto: AY, Nakaaya, RosaRee, RayC, Rayvanny, Baisa, Nandy, Joslin, Darassa, Dully Sykes, JD, Sugu, Feza, Linex, Nako2Nako, Stamina, KR nk
We unaona ni jina gani bora/bovu la msanii wa bongo?
NB: Msanii anaruhusiwa kubadilisha jina so ushauri huu unaweza kuwasaidia wasanii wetu kuji brand vizuri.
Haha, ndoivo man majina ya wasanii wetuDaah 😄
Ngoja tusubiri mkuu kwa wanetu wa Daslam watujuze,Ukiwafahamu hebu unambie na mimi huku Tukuyu tuwafahamu, pengine na kazi ni usanii gani wanafanya huko daslam, wanaigiza? Wanachekesha? Wanaimba? Au wanafanya usanii gan huko daslam? Au ndo vibaka
Huo nae ni msanii ?msanii anaitwa ushakunywa chai ndo leo na msikia.Ushakunywa chai?
Ali Kiba {jina baya}Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji.
Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo".
Nitatoa mifano:
1. Majina yasiyo na mvuto: Zuchu, Mbosso, Matonya, Mrisho Mpoto, Mwasiti, Chino Wanaman,Young Lunya, Nikki wa Pili, Kalapina, Dudu Baya, Young Killer Msodoki, Afande Sele, Mheshimiwa Temba, Shilole, Benjamin wa Mambo Jambo nk
2. Majina yenye mvuto: AY, Nakaaya, RosaRee, RayC, Rayvanny, Baisa, Nandy, Joslin, Darassa, Dully Sykes, JD, Sugu, Feza, Linex, Nako2Nako, Stamina, KR nk
We unaona ni jina gani bora/bovu la msanii wa bongo?
NB: Msanii anaruhusiwa kubadilisha jina so ushauri huu unaweza kuwasaidia wasanii wetu kuji brand vizuri.
Halafu tutegemee kuwa na nchi yenye maisha bora Kwa akili hizi.Mitano tena kwa mama
Ndio mtaji wa chademaHalafu tutegemee kuwa na nchi yenye maisha bora Kwa akili hizi.
Inaonekana una ulimbukeni wewe ndio maana majina ya kimagharibi unayaona ndio mazuri ila ya kibantu unayakashifu 🔥Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji.