Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

Join 2009 , kweli nyuzi za zamani zilikua za moto mno na watu walizitoa kwa akili kubwa.
 
Mbona majina ya pande zote ni yaleyale, uliyoyaweka kwënyê mvuto hata hayanivuti
 
Ukiwafahamu hebu unambie na mimi huku Tukuyu tuwafahamu, pengine na kazi ni usanii gani wanafanya huko daslam, wanaigiza? Wanachekesha? Wanaimba? Au wanafanya usanii gan huko daslam? Au ndo vibaka
Ngoja tusubiri mkuu kwa wanetu wa Daslam watujuze,

Sun Zu
 
Kwenye list ya wasanii wenye majina mabovu ungeanza na hili la Kayumba Uzi wako ungekuwa umeutendea haki sana
 
Hakuna jina nalichukia kama mbosso...naona lomekaa kinazi kweli kweli.
 
Ali Kiba {jina baya}
 
Inaonekana una ulimbukeni wewe ndio maana majina ya kimagharibi unayaona ndio mazuri ila ya kibantu unayakashifu 🔥
 
Majina yasiyo na mvuto
1.Msaga Sumu
2.Bonge la Nyau
3.Chopa Mchopanga
4.Dulla Makabila
5.Nikki Mbishi

Majina yenye mvuto
1.S2kizz
2.Lord Eyes
3.J.Mo
4.
 
Inaonekana una ulimbukeni wewe ndio maana majina ya kimagharibi unayaona ndio mazuri ila ya kibantu unayakashifu 🔥
Darasa, Feza, Sugu nayo ni ya kimagharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…