Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Happinesslete jina nikupe mambo yake....au unaogopa kujua??
Asee wee ni wa gharama sana (47), inaonekana unapenda sana starehe.Uko sahihi kabisaa
Asee wee ni wa gharama sana (47), inaonekana unapenda sana starehe.
Ha Ha Ha unaweza ukajitambua na usifikie vigezohehehe labda hujajitambua bado....
acha kulia kama mtoto piga moyo konde bado sku tatu ifike weekendJina la "ROSE" limenikumbusha mbali sana mpaka machozi yamenitoka.