Majina ya wasichana na sifa zao kwenye mapenzi

ngoja nilete maana ya majina ya kiume sasa tuone mkoje kwenye mapenzi
 
he he he wewe unanichimba!!
Kiukweli moyo wangu umekufia sana so naomba kujua sifa za jina hilo ili nione uwezekano wa kukufata PM tafadhali, au kama vipi niwekee hizo sifa kule PM tafadhali.
 
Moyo wako unalifia jina?? Dah wewe ukionajina tu hoi?? Basi unashida, sasa ukiona MTU si ndio unayeyuka kabissa...!!!
 
33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa
Jina la demu wangu wa sasa hv,ngoja nimupige chini nione kama atakata tamaa ya kuolewa
 
Mkuu, hapo no 25 na 33 hilo ni jina moja kwa lugha tofauti, hizo tabia naona kwa mbali zinaelekeana.
 
MAJINA YA GIRLS/WOMEN NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI

1.Nancy - Muongo

2.Julieth - Kicheche

3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu

4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza

5.Hellen - Ana busara anapozungumza na mpenzi wake

6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa

7.Eunice - Hapendi ndugu wa mume wakali

8. Agness- Ana upendo wa dhati na akipenda kapenda

9.Pauline - Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka

10.Catherine- Mbinafsi katika mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake

11.Mariam - Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake

12. Loveness - Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu

13.Monica - Anajivunia mpenzi wake popote

14.Mellisa - Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka

15.Elizabeth - Hapendi kujihusisha na mahusiano

16.Emmy - mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)

17.Frida - Anapenda sifa kwa wanaume

18.Theresa - Mvumilivu ktk mapenzi

19.Eve - Hana mwanaume maalum,

20.Hilda - Muumiza mioyo ya wanaume wengi

21.Jackline - Ni mlipiza visasi

22.Lydia - Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)

23.Carol - Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika

24.Josephine - Hataki mpenzi but anataka mume

25.Grace - Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi

26.Anna - Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa

27.Beatrice - Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa

28.Rehema - Anapenda waume za watu

29.Brenda - Akipenda anapenda kufa

30.Diana - Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu

31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano

32. Jane - Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole

32.Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu

33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa

34. Aneth - Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake

35.Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi

36.Violeth - Mkorofi

37.Sylvia - Mkimya sana awapo na mpenzi wake

38.Christine - Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake

39.Doreen - Ana aibu sana kwenye mapenzi

40.Magreth - Anapenda sana ila anaumizwa sana pia

41.Cleopatra - Anapenda masihara na mpenzi wake

42.Emeldah - Hatongozwi ila anajua ipo siku ataolewa tu

43.Sandra - Ana wivu kupita kiasi

44.Mercy - Anapenda kuigiza upole kwa mpenzi wake angali ni mtata

45.Jessica - Muaminifu sana

46.Viola - mkimya lakini anapenda kupata ukweli wa mambo, mchapakazi na anapenda adventure, hapendi kuwekewa mipaka

47.Ruby - anajipenda na anapenda kuongea na watu, anapenda vitu vizuri vimzunguke na anapenda kutumia hela

Kwa majina ya wanaume na sifa zao katika mapenzi gonga hapa--->>>.

IKUMBUKWE HII STORY NI YA KUSADIKIKA UTAANGALIA MWENYEWE KAMA NI KWELI AU LA
Na wewe je? Mbona Jina lako
halipo
 
Mkuu, mbona kimya ama mb zimeisha??
ha ha ha hapa mb haziishagi ila majukumu si unajua tena, lazima kubalansi muda wako inapofika wakati wa majukumu mengine basi unawahi chemba
 
Nijibu kwa jina nililokutumia la Happiness.
 
Ulikuwa nao hao wote ukajua tabia zao.na ww jina lichanganue
 
Back
Top Bottom