Majina ya wasichana na sifa zao kwenye mapenzi

Mi yakwangu nimeiona na ni kweli kabisa yaani ni kweli toka moyoni imenihusu kwa asilimia 99.9
 
45 nilimpenda sana, nilimshawishi sana awe mke wangu, lakini alikataa bila kunipa sababu ila bado nampenda na namuhitaji sana.

Hisia zangu ma man.
 
1.Nancy - Muongo
2.Julieth - Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5.Hellen - Ana busara anapozungumza na mpenzi wake
6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa
7.Eunice - Hapendi ndugu wa mume wakr
8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda
9.Pauline - Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka
10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake
11.Mariam - Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake
12. Loveness - Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu
13.Monica - Anajivunia mpenzi wake popote
14.Mellisa - Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka
15.Elizabeth - Hapendi kujihusisha na mahusiano
16.Emmy - mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)
17.Frida - Anapenda sifa kwa wanaume
18.Theresa - Mvumilivu ktk mapenzi
19.Eve - Hana mwanaume maalum,
20.Hilda - Muumiza mioyo ya wanaume wengi
21.Jackline - Ni mlipiza visasi
22.Lydia - Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)
23.Carol - Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika
24.Josephine - Hataki mpenzi but anataka mume
25.Grace - Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi
26.Anna - Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa
27.Beatrice - Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa
28.Rehema - Anapenda waume za watu
29.Brenda - Akipenda anapenda kufa
30.Diana - Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu
31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano
32. Jane - Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole
32.Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu
33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa
34. Aneth - Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake
35.Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi
36.Violeth - Mkorofi
37.Sylvia - Mkimya sana awapo na mpenzi wake
38.Christine - Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake
39.Doreen - Ana aibu sana kwenye mapenzi
40.Magreth - Anapenda sana ila anaumizwa sana pia
[emoji38][emoji38][emoji38]
Source KKM
 
Ni kweli aisee du!

24 => Inamhusu mzee wa mihogo cc @Dr .W.Slaa !!
 
Vipi kuhusu majina ya nyumbani kama wakina nyamicho, wampunia, ridhiki, sikujua, mwajuma, salama, matengenye na wengine wa namna hiyo
 
Mbona sijaona majina ya kina Asha, mwajuma??!!
 
HahaAh Afadhal simo,,,,,,,,, ndo athar ya kumpa mtoto majina ya kufanana kama YEBOYEBO ata kama haNa tabia iliyotajw bas Kachovya kdogo japo kuna watu wamebeza hii topic.
 
Back
Top Bottom