Majina ya wasichana na sifa zao kwenye mapenzi

[emoji23][emoji23]
don't do this to me please, vanilla?? Msinidekeze hivi jamani life will never have mercy on me!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mahali unafaa kabisa... Hatuhitaji watu hardcore kila idara.... Tutawatumia kwenye sector nyingine and you'll fly with green colors..
 
😂 😂
Would you please give me a hint mfano wa pahala nitafit, that can be a hidden treasure you know..!!
 
Ulisema ukimdaka 'naniliu' pia utamtoa meno, niko hapa nasubiri kuona mapengo yake I can't imagine that beautiful face!!😂😂
Hapa nakusanya hasira Twin, nitakachomfanya msije tuu mkaniamua.
Bora mtu anikosee mimi ila sio akuumize wewe. Atalipa lazima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mahali unafaa kabisa... Hatuhitaji watu hardcore kila idara.... Tutawatumia kwenye sector nyingine and you'll fly with green colors..
Bila shaka huko kwenye watu hardcore haujaribu kuniweka mimi.
 
Unajua kabisa vikao vyetu vinaishiaga kwenye kukwidana na kununiana.. Unataka tumfundishe nini mtoto[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
She will learn hard way hivyo hivyo
 
Korosho na karanga zipo pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka ulikuwa unasifia Tamarind.. Nikanunua jana caton nzima. Hapa natamani kulia maana sijaona tofauti yoyote na ile mikwaju niliyokuwa natengeneza kipindi nipo Moshi.
Hii hasara utailipa tuu.
 
Mungu wangu unakunywa za moto nni au mdomo umekuangusha.... Hakuna kitu tam kama hii.... Last week nilifanya giveaway kwa some uncles nimepata a very positive feedbacks na wamenyonya zoteee....
 
Hao uncles wako hawajawahi kuishi moshi kwenye mikwaju ndio maana.
Sisi tuliozitengeneza enzi hizo kwenye hii naona hela yangu imepotea bure. Au zile za kunyinya ndio tamu? Mimi nimenua za chupa (juice).
 
Back
Top Bottom