FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Ni tuchupa hito hito... Basi taste buds.... Zinayweka sana[emoji39][emoji39][emoji39]Hao uncles wako hawajawahi kuishi moshi kwenye mikwaju ndio maana.
Sisi tuliozitengeneza enzi hizo kwenye hii naona hela yangu imepotea bure. Au zile za kunyinya ndio tamu? Mimi nimenua za chupa (juice).