Majina ya wasichana na sifa zao kwenye mapenzi

ngoja nilete maana ya majina ya kiume sasa tuone mkoje kwenye mapenzi
 
he he he wewe unanichimba!!
Kiukweli moyo wangu umekufia sana so naomba kujua sifa za jina hilo ili nione uwezekano wa kukufata PM tafadhali, au kama vipi niwekee hizo sifa kule PM tafadhali.
 
Kiukweli moyo wangu umekufia sana so naomba kujua sifa za jina hilo ili nione uwezekano wa kukufata PM tafadhali, au kama vipi niwekee hizo sifa kule PM tafadhali.
Moyo wako unalifia jina?? Dah wewe ukionajina tu hoi?? Basi unashida, sasa ukiona MTU si ndio unayeyuka kabissa...!!!
 
33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa
Jina la demu wangu wa sasa hv,ngoja nimupige chini nione kama atakata tamaa ya kuolewa
 
Mkuu, hapo no 25 na 33 hilo ni jina moja kwa lugha tofauti, hizo tabia naona kwa mbali zinaelekeana.
 
Na wewe je? Mbona Jina lako
halipo
 
Mkuu, mbona kimya ama mb zimeisha??
ha ha ha hapa mb haziishagi ila majukumu si unajua tena, lazima kubalansi muda wako inapofika wakati wa majukumu mengine basi unawahi chemba
 
ha ha ha hapa mb haziishagi ila majukumu si unajua tena, lazima kubalansi muda wako inapofika wakati wa majukumu mengine basi unawahi chemba
Nijibu kwa jina nililokutumia la Happiness.
 
Ulikuwa nao hao wote ukajua tabia zao.na ww jina lichanganue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…