Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

Showmax

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
6,592
Reaction score
12,707
David Wakati,
Sarah Dumba,
Eda Sanga,
Jacob Tesha,
Ananilea Nkya,
Sango Kipozi,
Omar Jongo,
Ahmed Jongo,
Barnabas Mluge,
Idrissa Sadallah,
Benjamin Kikomongo "Ben Kiko",
Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa",
Danstan Tido Mhando,
Masoud Masoud,
Yusuph Omar Chunda,
Bujaga Izengo Kadago,
Abisai Steven,
Angalieni Mpendu,
Titus Philipo,
Bakari Msulwa,
Michael Katembo,
Nazir Mayoka,
Abdul Ngalawa,
Mohammed Kisengo,
Abdallah Mlawa,
Hendrick Michael Libuda,
Abdallah Idrissa Majura,
Mikidadi Mahmoud,
Rosemary Mkangara,
Wilson Malosha,
Damian Msangya,
Nswima Ernest,
Nathan Rwehabura,
Betty Chalamila (Betty Mkwassa),
Elisia Isabula,
Aloysia Maneno,
Albert Msemembo,
Abdul Masoud,
Chisunga Stephen,
Siwatu Luanda,
Tumbo Tamimu Risasi,
Selemani Mkufya,
Salim Mbonde,
Christine Chokunegela,
Kassim Mikongolo,
Salama Mfamao,
Zawadi Machibya,
Juma Ngondae,
Salim Seif Mkamba,
Nelly Kedela,
Dominic Chilambo,
Sekioni Kitojo,
Malima Ndelema,
Khalid Ponera,
Julius Nyaisanga,
Ahmed Kipozi,
Charles Hillary,
Aboubakar Liongo,
Penzi Nyamungumi,
Sued Mwinyi

Mambo ya RTD enzi hizo:

Ikiwa unawajua hao, jiandae kustaafu.
 
Nawajua hawa toka mtoto nasikiliza rtd hadi 2009 nikawa na tv.

1. Mbazigwa hasasni, majira dsm
2. Richard leo, mwanza
3. Gerson msigwa, songea
4. Restituta bukoli, shinyanga
5. Benjamini rwegasira, bukoba.(mayalla tufafanulie kidogo kilichompata huyu akiwa na rayonda owani wa rfa)
6. Nsiihma ereeenest, sumbawanga
7. Kanda ya kati dom pia richard
8. Moro unamkuta monika lyampawe

Sikukosa kipindi cha michezo akikikata sued mwinyi au juma nkamia au ezekiel malongo.

Majira nk!

Mzee wangu hakukosa hotuba za ben mkapa.

Akisema ndugu wananchi, redio inatulia tuli mawimbi.

UZI HUU UNANIFANYA NIPUNGUZE ULEVI NIWE NAWAHI NYUMBAN KUPGA STORI NA WATOTO
 
Abdallah Mlawa ndo babaake na Kigogo wa Twitter nini?
 
Nilikuwa na wakubali sana Jane shirima, Malin Hassan Malin ,Tido na na wanawake wawili waliokuwa wanatangaza kipindi Cha taarabu
 
Masoud masoud manju wa muziki, hawa ndio waliujua muziki akichambua maflashback
 
Nsimwa Ernest
Tumbo Risasi
Masoud masoud(manju wa muziki)

Daaah mkuu hongera saana
Japo ni kijana mdogo lakini majina hayo nilikua nikiyasikia saaana
 
Yuwapi Ezekiel Malongo na Malima Ndelema
Ila malongo alikua na makeke kwenye kutangaza mpira enzi hizo RTD
 
Uzi kama huu upo tayari JF tena ni zaidi ya mmoja
 
Back
Top Bottom