Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

Jamaa alimaliza kwa kusema, Natuma salamu za rambirambi kwa Malima Ndelema, namwambia tukumbukane kupitia CRDBπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜
Hapo channel zimevaana. Kwenye kaswida ni singeli na kwaya inapigwa kaswida
 
Esther Mshana sjui alikuwa mkoa gani nikumbushe
 
Martha Ngwila -Mbeya. Huyu dada alikuaga muongo muongo sana. Unakuta tukio limetokea mahali haendi site anaripoti kupitia "hearsays and rumors". Mwishowe miaka ya 2005 au 2006 hivi alihamishwa na hadi leo sijui yuko wapo.
 
Kwenye kutangaza soka nilikuanaikubali sana combination ya Ahmed Jongo R.I.P na Charles Hilary.
 
Abdallah Mlawa ndo babaake na Kigogo wa Twitter nini?
Kipindi cha Kijaluba na Abdala mlawa majira ya saa 5 usiku hivi,kipindi cha Philips usiku mida ya saa mbili hivi kama sikosei idhaa ya biashara,kipindi cha sikiliza Bwana umeme,kwa mwanga safi,mapishi bila moshi,enzi hizo watu wengi tu walikua wakimudu kupikia majiko ya umeme.
 
Kun
 
Kuna mkongwe mmoja alikuwa anaitwa Edward Kahurananga sikumbuki alikuwa anareport kutokea wapi aise
 
Sara Dumba umemsahau.Tukumbushane yule Mama aliyekuwa anatupigia hadithi kwenye kipindi Cha Mama na mwana alikuwa anaitwa nani?
 
SStevEn Lyimo, halima

StevenLyimo, Halima Mchuka, PASCO Mayala, Maria Ulimwengu, Rogers Matipa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…