124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Ndugu yangu ndege anakuwa kifaranga mara tu baada ya kuanguliwa kutoka yai, baada ya muda anaitwa kinda yaani si kifaranga tena na pia hajapea.kama unavyoona binadamu watoto, kichanga, mwana, kigori/mwari/baleghe/barobaro then binti/kijana.Usifananishe kiswahili na lugha nyingine,watu wengi wanafananisha grama ya kiswahili na kingereza kuwezi kumwita mtoto wa kuku kinda la kuku wala huwezi kumwita kinda la ndege kifaranga cha ndege hicho kitakuwa sio kiswahili itakuwa lugha iliyofanana na kiswahili lakini watu watakufahamu nini umekusudia