Ndugu yangu ndege anakuwa kifaranga mara tu baada ya kuanguliwa kutoka yai, baada ya muda anaitwa kinda yaani si kifaranga tena na pia hajapea.kama unavyoona binadamu watoto, kichanga, mwana, kigori/mwari/baleghe/barobaro then binti/kijana.Usifananishe kiswahili na lugha nyingine,watu wengi wanafananisha grama ya kiswahili na kingereza kuwezi kumwita mtoto wa kuku kinda la kuku wala huwezi kumwita kinda la ndege kifaranga cha ndege hicho kitakuwa sio kiswahili itakuwa lugha iliyofanana na kiswahili lakini watu watakufahamu nini umekusudia
Ndugu yangu ndege anakuwa kifaranga mara tu baada ya kuanguliwa kutoka yai ,baada ya muda anaitwa kinda yaani si kifaranga tena na pia hajapea.kama unavyoona binadamu watoto,kichanga ,mwana,kigori/mwari/baleghe/barobaro then binti/kijana
Hehehehe samaki mbilikimo:yo:, uko sawa madameX dagaa hakuwi umbo lake ndio hilo hilo,baba wa dagaa umbo lake liko hivyo mama wa dagaa umbo lake liko hivyo
Mtoto wa Nguruwe anaitwa mtoto wa Nguruwe
Kinda ni kwa jamii ya ndege wasiofugwa. Bundi,tai,njiwa pori,ostrich ( mbuni)Na kinda utaelezeaje?
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
Itapendeza ukiwaeka na weweList yako ni batili kwa kuwa mnyama pendwa amesahaulika kwenye list...unamsahauje mdudu kwamfano..
Bahaaria umesahau kitimoto, usipanic...mtoto wake sijui anaitwaje ila ukimchinja angali hajakomaa wallah huachi hata mfupa!Itapendeza ukiwaeka na wewe
Ng'ombe......Ndama
Nzige...kimatu/maige/tunutu/matumatu/funutu
Ndege....Kinda
Kipepeo/nondo....kiwavi
Nzi......Buu
Farasi....Kitekli
Mamba...... Kigwena
Nyangumi..... Kinyangunya
Fisi.... Kikuto/bakaya
Ngamia..... Nirigi/nirihi
Paka.......kinyaunyau/kipusi
Ndovu.... Kidanga
Mbweha.... Nyamawa
Nyani...... Kigunge
Kondoo..... Kibebe/katama
Mbuzi.....Kibui/kibuli/kimeme
Farasi na punda.... Nyumbu
Punda.... Kiongwe/kihongwe
Mbu....kiluwiluwi
Chura.... kiluwiluwi
Kuku..... Kifaranga
Papa.... Kinengwe
Nyuki.... Jana
Simba..... Shibli
Sungura.....Kitungule
Kwanga/wibari.... " "
Samaki.... Chengo/kichengo
Chui.... Chongole/kisui
Mbwa..... Kilebu/kidue/kibwa
Nyoka...... Kinyemere
Njiwa..... Kipura
Wazazi wenye rangi tofauti.... Chotara/suriama
Mmmmh! Mkuu hapo kwenye vichanga vya farasi na punda..iweje Nyumbu..Nyumbu si Wildebeest!Ng'ombe......Ndama
Nzige...kimatu/maige/tunutu/matumatu/funutu
Ndege....Kinda
Kipepeo/nondo....kiwavi
Nzi......Buu
Farasi....Kitekli
Mamba...... Kigwena
Nyangumi..... Kinyangunya
Fisi.... Kikuto/bakaya
Ngamia..... Nirigi/nirihi
Paka.......kinyaunyau/kipusi
Ndovu.... Kidanga
Mbweha.... Nyamawa
Nyani...... Kigunge
Kondoo..... Kibebe/katama
Mbuzi.....Kibui/kibuli/kimeme
Farasi na punda.... Nyumbu
Punda.... Kiongwe/kihongwe
Mbu....kiluwiluwi
Chura.... kiluwiluwi
Kuku..... Kifaranga
Papa.... Kinengwe
Nyuki.... Jana
Simba..... Shibli
Sungura.....Kitungule
Kwanga/wibari.... " "
Samaki.... Chengo/kichengo
Chui.... Chongole/kisui
Mbwa..... Kilebu/kidue/kibwa
Nyoka...... Kinyemere
Njiwa..... Kipura
Wazazi wenye rangi tofauti.... Chotara/suriama
Ng'ombe......Ndama
Nzige...kimatu/maige/tunutu/matumatu/funutu
Ndege....Kinda
Kipepeo/nondo....kiwavi
Nzi......Buu
Farasi....Kitekli
Mamba...... Kigwena
Nyangumi..... Kinyangunya
Fisi.... Kikuto/bakaya
Ngamia..... Nirigi/nirihi
Paka.......kinyaunyau/kipusi
Ndovu.... Kidanga
Mbweha.... Nyamawa
Nyani...... Kigunge
Kondoo..... Kibebe/katama
Mbuzi.....Kibui/kibuli/kimeme
Farasi na punda.... Nyumbu
Punda.... Kiongwe/kihongwe
Mbu....kiluwiluwi
Chura.... kiluwiluwi
Kuku..... Kifaranga
Papa.... Kinengwe
Nyuki.... Jana
Simba..... Shibli
Sungura.....Kitungule
Kwanga/wibari.... " "
Samaki.... Chengo/kichengo
Chui.... Chongole/kisui
Mbwa..... Kilebu/kidue/kibwa
Nyoka...... Kinyemere
Njiwa..... Kipura
Wazazi wenye rangi tofauti.... Chotara/suriama
Neno linaweza kuwa na maana zaidi ya mojaMmmmh! Mkuu hapo kwenye vichanga vya farasi na punda..iweje Nyumbu..Nyumbu si Wildebeest!
Kiswahili chetu hiko mzeeElimu nzuri, Hauo majina ni lugha ya kiwahili au kilugha?