Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Moto wa kuotea mbalii km 30kitu Rose bana acha kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto wa kuotea mbalii km 30kitu Rose bana acha kabisa!
Unanitaja mmi ndo tupo hivyo tunaogopa dhambiWakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
HahahahaMarry umeua kabisa...kuna uzi humu unauliza jina gani lililokuumiza kimapenz hutaki kulisikia...Marry alikua kati ya vinara
Said mnyamwezi si ndo aliwahi kutaka kula hadi majini...alafu wakamnaniniii SIDE MNYAMWEZIIIIWakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
Nimehasabia mpaka sasa nimekutana na Lilian kama sita hivi:Lillian 😀😀😀
Teh kwenye huu uzi Rose ndiyo kaongozaMoto wa kuotea mbalii km 30
Mmh!! Hii offside kabisaUnanitaja mmi ndo tupo hivyo tunaogopa dhambi
RoseTeh kwenye huu uzi Rose ndiyo kaongoza
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Ni majina gan yamekaa kiuzinzi,vicheche?..yaani ukilisikia tu unajua huyu ZOA ZOA ..
Bila kusahau tedyJacky
Jacky ni malaya wa kutupwa 😅😅😅Uzi hautotendewa haki kama JACKLINE(jacky) hatoongoza kwa KUTAJWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Recho nao dah ni hatari halafu wanakuwaga waongeaji sanaHappy happy happy
Recho recho recho sio Raheli hao wakina Recho hapana chezea
ESTHER hiv mara nying huwa vyembamba vijanja sana
Alikwambia nani? Wanawake malaya unawajua kwa majina tu! Sijawahi kukutana na happy ambaye sio kichecheJina halibebi tabia ya mtu.
Hahaha sawa EstherIla wanakuwaga wapo vizuri sana upstairs
Hujakosea mzee! Huwa ni malaya classic waleDiana ni Malaya ila ni expensive
Hahahah wana visura vya upole ila sasa ni mwendo wa simu 2/3 kishaeleweka! 😅😅😅Irene; wakimya ila hatari; mnisamehe kina irine kama mpo humu