Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

Wakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
Teh kuna kina Side Mnyamwezi achana nao kamuulize Mhe Temba
 
Langu mimi halijatajwa. Halafu tunaangalia majina yaliyotokea mara nyingi maana wengine wanataja tu kisa X wake anaitwa Tununu basi anakuja kutaja
Nimesoma kuanzia mwanzo wa hii thread.... Ukiangalia kwa makini basi wanawake wote ni malaya... Hakuna jina ambalo halijatajwa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sema hapa yanatajwa majina ambayo ni common, yana watu wengi kwa hiyo ni kawaida kutokea watu wa sampuli tofauti. Jina langu watu wazima tuko wachache. Shule ya msingi miaka yote saba niliyosoma nilikuwa peke yangu shule nzima, o level tulikuwa wawili, Advanced level tulikuwa wawili, chuo kwenye course yangu tulikuwa wawili au nilikuwa peke yangu (sikumbuki vizuri)
Nimeliona sema kwakuwa nna mahaba na wewe nikatumia uwezo wangu wa uMOD nikadelete....
 
Back
Top Bottom