Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kumbe una akili namna hii???[emoji23][emoji23][emoji23] sema hapa yanatajwa majina ambayo ni common, yana watu wengi kwa hiyo ni kawaida kutokea watu wa sampuli tofauti. Jina langu watu wazima tuko wachache. Shule ya msingi miaka yote saba niliyosoma nilikuwa peke yangu shule nzima, o level tulikuwa wawili, Advanced level tulikuwa wawili, chuo kwenye course yangu tulikuwa wawili au nilikuwa peke yangu (sikumbuki vizuri)