Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

[emoji23][emoji23][emoji23] sema hapa yanatajwa majina ambayo ni common, yana watu wengi kwa hiyo ni kawaida kutokea watu wa sampuli tofauti. Jina langu watu wazima tuko wachache. Shule ya msingi miaka yote saba niliyosoma nilikuwa peke yangu shule nzima, o level tulikuwa wawili, Advanced level tulikuwa wawili, chuo kwenye course yangu tulikuwa wawili au nilikuwa peke yangu (sikumbuki vizuri)
Kumbe una akili namna hii???
 
Akina Saudi so ndo aka side mnyamwezi?

Wakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
wazee was kuopoa mpk majini
 
Back
Top Bottom