Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hizi ni akili za tuvijana twa CCM. Halafu tunaongea kwa kujiamini utadhani anaongea kitu sensiable
Tofautisha nafsi moja majina matatu, na nafsi tatu majina tisa.Jina MOJA mfano Sakuminga Chambwene Mbwina
HILO NI JINA MOJA
Majina MATATU mfano
1. Sakuminga Chambered Mbwina
2. Chabulanga Mwenea Mbina
3. Malofe Bwenea Mwinga
HAYO NI MAJINA MATATU
Sasa hilo lihuni toto la Mzee Kimani lipiga debe limekomaa kwamba kwenye majina MATATU kuna jina moja, sawa kuna majina MATATU yaletwe yote MATATU
Kwa maana inabidi yawe matatu tu.Alikosea Kwenye katiba imeandikwa Yasiyozidi matatu.
Na sio yasiyopungua matatu.
Ukisema nipe vitu visidi zidi vitatu.Hizi ni akili za tuvijana twa CCM. Halafu tunaongea kwa kujiamini utadhani anaongea kitu sensiable
Yasiyozidi na yasiyopungua lugha haijapishana sana ila maana ni ile ileAlikosea Kwenye katiba imeandikwa Yasiyozidi matatu.
Na sio yasiyopungua matatu.
Na ukisema nipe vitu visipungue vitatu?Ukisema nipe vitu visidi zidi vitatu.
Inamanisha naweza kukupa kimoja ama viwili ama vitatu .
Maximum limit ndio tatu
Ni tatu sio moja ni tatu km tatuUkisema nipe vitu visidi zidi vitatu.
Inamanisha naweza kukupa kimoja ama viwili ama vitatu .
Maximum limit ndio tatu.
Ukisema ni pe vitu visivyo pungua vitatu
Inamaanisha tatu kwenda juu
Kajinga sana kale..Hizi ni akili za tuvijana twa CCM. Halafu tunaongea kwa kujiamini utadhani anaongea kitu sensiable
Hawa ndo njaa tupu ,anachoongea hata Hajui na ndo vijana watiifu wa kwetuMajina yasiyopungua matatu maana yake ni kuanzia majina matatu, kuonyesha hajui anachoongea anasema jina moja liko chini ya majina matatu.
Kuna watu wao kila kitu wanasifia na ndiyo wanatamani kuwa viongozi, were fucked.
Jina langu ninaitwa Zero Minus 10Tofautisha nafsi moja majina matatu, na nafsi tatu majina tisa.
Uhuni tu huo.
Kajichanganya vibaya sana, kajipiga mueleka na anashangiliwa!Ibara ya 103, ibara ndogo ya 12b, majina yasiyopungua matatu.....
Halafu jina moja, liko ndani ya......
I'm totally confused
Issue ni kwamba wana watu wao wanaowapeleka Bungeni, shida ndio ipo hapoBado wanaweza kutusaidia kuwachuja hata hao viti Maalum ili tupate viongozi Wazalendo Mkuu.
Binafsi naumia sana kuona eti hiki kidada nacho kinakula zaidi ya milioni 18 kwa mwezi ambazo ndani yake kuna kodi yangu!
Iwe mwisho kuendelea kuletewa viongozi vilaza na wenye uchu kama hawa.
Inaumiza sana na hii huchangia kuondoa hata uzalendo miongoni mwa vijana.
Tutafikia kweli uchumi $Trilioni 1 kwa wafanya maaumuzi wa aina hii?! ChoiceVariable chiembe funakuHii nchi ngumu sana! Hawa ndio watekelezaji wa dira ya taifa?
Hatuhitaji ubunge wa viti maalumu tena, umeshapitwa na wakatiBado wanaweza kutusaidia kuwachuja hata hao viti Maalum ili tupate viongozi Wazalendo Mkuu.
Binafsi naumia sana kuona eti hiki kidada nacho kinakula zaidi ya milioni 18 kwa mwezi ambazo ndani yake kuna kodi yangu!
Iwe mwisho kuendelea kuletewa viongozi vilaza na wenye uchu kama hawa.
Inaumiza sana na hii huchangia kuondoa hata uzalendo miongoni mwa vijana.
kwa aina ya hawa kina ng'wasi, hapana kwa kweli, hatuhitaji tena type hii ya viongozi.Hatuhitaji ubunge wa viti maalumu tena, umeshapitwa na wakati