Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

Mimi nilipomsikia kwa mara ya kwanza nikajiona sijamuelewa huyu dada,lakini nilidhan sijamuelewa kwakuwa elimu yangu ni ndogo!kama na wewe hujamuelewa basi inahuzunisha sana!

TANZANIA UKIWA UNAONGEA SANAAAA BASI UNAFAA KUWA KIONGOZI,NCHI HAITAKI MADOMO ZEGE WATENDAJI!
 
Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama.
Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
View attachment 3413313
hata sijaelewa watu wazima kama hao hapo wameshangilia nini sasa. imagine hawa kama unavyowaona hivyo ndio wanaongoza nchi hii kama viongozi. ndio maana nchi zingine wanatucheka sana.
 
Ibara inapendekeza majina sio chini ya matatu hyo Moja ipo chini ya matatu hvyo haivunji katiba yetu
Ng'wasi, niache tafadhali, unauchosha ubongo wangu.
Kwa hiyo majina yasipungue matatu, ndo maana yake hiyo unayoimaanisha?
 
Ibara inapendekeza majina sio chini ya matatu hyo Moja ipo chini ya matatu hvyo haivunji katiba yetu
Kusingekuwa na neno "siyo", ningeelewa vizuri.
Nina maana ibara ingesema "Majina chini ya Matatu".
Ni kweli moja iko chini ya tatu.
Lakini kinacholeta shida ni hayo maneno 'siyo chini ya.....".
 
1753121744981.jpeg
 
Kusingekuwa na neno "siyo", ningeelewa vizuri.
Nina maana ibara ingesema "Majina chini ya Matatu".
Ni kweli moja iko chini ya tatu.
Lakini kinacholeta shida ni hayo maneno 'siyo chini ya.....".
Tuna safari ndefu sana kama Taifa kwa kweli..
Mungu atusaidie tu.
 
Back
Top Bottom