Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.

Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.

Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:

Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1

Dida – Times FM

D’Jaro Arungu – TBC FM

Diva – Clouds FM

Mariam Kitosi – Times FM

Millard Ayo – Clouds FM

Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2

Ala za Roho – Clouds FM

Amplifaya – Clouds FM

Hatua Tatu – Times FM

Papaso – TBC FM

XXL – Clouds FM

Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3

Abdallah ‘Dullah’ Ambua - EATV

Salama Jabir – EATV/Maisha Magic

Salim Kikeke – BBC Swahili

Sam Misago - EATV

Zamaradi Mketema – Clouds TV

Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4

Friday Night Live – EATV

In My Shoes – EATV

Mkasi – EATV

Planet Bongo – EATV

Take One – Clouds TV

Muongozaji wa video anayependwa TZW6

Abby Kazi

Adam Juma

Khalfan

Hanscana

Nisher

Muongozaji wa filamu anayependwa TZW7

Jacob 'JB' Stephen

Leah Mwendamsoke

Timothy Conrad

Vincent ‘Ray' Kigosi

William Mtitu

Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa TZW8

Elizabeth 'Lulu' Michael

Irene Uwoya

Jacqueline Wolper

Riyama Ally

Wema Sepetu

Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa TZW9

Hemedi Suleiman

Jacob 'JB' Stephen Mzee

King Majuto

Salim ‘Gabo’ Ahmed

Vincent 'Ray' Kigosi

Mwanamuziki wa kike anayependwa TZW10

Lady Jaydee

Linah

Mwasiti

Shilole

Vanessa Mdee

Mwanamuziki wa kiume anayependwa TZW11

Alikiba

Barnaba

Diamond Platnumz

Jux

Ommy Dimpoz

Filamu inayopendwa TZW12

Chausiku

Kigodoro

Madam

Mshale wa Kifo

Sunshine

Video ya muziki inayopendwa TZW13

Akadumba - Nay wa Mitego

Kipi Sijasikia – Profesa Jay

Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz

Wahalade - Barnaba

XO - Joh Makini
 

Attachments

  • list1.jpg
    199.5 KB · Views: 1,049
wooooyaaaaaaah, K 4 REAL in the house lazima achukue hiyo .maana wengine wote hapo vilaza tu
 
Dotto Bulendu wa Star TV na kipindi chake cha Jicho ndani ya habari hayumo??!! We are not seriaz at all!!!
 
Kweli mzee wa malovee @ kassim mganga kama ulivyoimba bac subiri kaka ila wimbo wako upo juuu coz una maudhuiw tofauti
 
Kumuweka Jux halafu unamuacha Mavoco ni ukosefu wa adabu, halafu video Nani Kama Mama/ Wahalade haziwezi zidi ubora Pacha Wangu,Ntampata wapi. Anyway, kazi kwao
 
Hiyo video bora mbona kama sijaelewa... Kuna video hapo inayopendwa zaidi ya mdogo mdogo au ntampata wapi?

Hahahaaa,leo matumbo umepatikana.Hujaelewa nini? Habari ndio hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Ali Kiba lazima achukue msanii wa kiume anayependwa.Wengine wanamsindikiza tu.
Hapo kwenye video inayopendwa naona wameamua kutokuweka ya yeyote baina ya haya mafahari wawili kukwepa maneno maneno.
 
Kumuweka Jux halafu unamuacha Mavoco ni ukosefu wa adabu, halafu video Nani Kama Mama/ Wahalade haziwezi zidi ubora Pacha Wangu,Ntampata wapi. Anyway, kazi kwao

Ni kweli bwana mavoco hawajamtendea haki kabisa.
 
Kumuweka Jux halafu unamuacha Mavoco ni ukosefu wa adabu, halafu video Nani Kama Mama/ Wahalade haziwezi zidi ubora Pacha Wangu,Ntampata wapi. Anyway, kazi kwao

Kwa kweli sijui ni kigezo kipi wametumia kutomuweka Mavoko. Damn.
 
In my shoes...!!?the worst TV show I have ever watched...clipendi hili li kipindii
 
Millard ayo! chalii ya kwetuu...
Na mtu wangu wa nguvu..
Leta heshima tenaaa....
 
Kumuweka Jux halafu unamuacha Mavoco ni ukosefu wa adabu, halafu video Nani Kama Mama/ Wahalade haziwezi zidi ubora Pacha Wangu,Ntampata wapi. Anyway, kazi kwao

Clouds wakisema Yes nani wa kupinga???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…