Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

Kwenye mwanamuziki wa kike hapo mh. Lady JayDee vs Vanessa Mdee sijui kura nimpe nani
 
Kende umeongea ukweli hawa jamaa wanamchukulia poa mavoko ila IPO siku watamwelewa
 
Hizo tuzo wangebadili jina kuwa ni za redio, Tv na watangazaji wa redio na Tv za DSm tu , tungawaelewa sana kuliko hicho wanachokifanya sasa
 
Mradi Alikiba yumo wengine ambao hawajapendekezwa watajijuuu!!

Mwanamuziki bora wa kiume kama ambavo jina lake limetangulia
 
Mradi Alikiba yumo wengine ambao hawajapendekezwa watajijuuu!!

Mwanamuziki bora wa kiume kama ambavo jina lake limetangulia

Sis where are you jamanii!Kule story imenoga balaa.
 
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.

Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.

Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:

Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1 wizi mtupu
 
Back
Top Bottom