Masumbuko r bilali
Senior Member
- Dec 27, 2012
- 158
- 35
Mradi Alikiba yumo wengine ambao hawajapendekezwa watajijuuu!!
Mwanamuziki bora wa kiume kama ambavo jina lake limetangulia
Sis where are you jamanii!Kule story imenoga balaa.
Nisamehe bura mdogo wangu, yaani nimetingwa kweli acha tu.
Na imeshafutwa mwenzangu.Maslahi ya wakubwa yaliguswa!
Na imeshafutwa mwenzangu.Maslahi ya wakubwa yaliguswa!
Jamani nimepitwaaa!! Mweeeeh!
Na ule mwingine wameufuta au? Mbona sijauona na wenyewe
Umbea upi hatuitani
Umbea wa MMU binamu.Naona sijakuona kule kabisa nikadhani wewe unapenda umbea wa mastar wa bongo tu ila wa JF huupendi.
Uzi umesharudiiiiiii hapa nina raha hatari.