AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
Habari zenu jamani,
Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu hata kumshika tu nishida.
Kunasiku niliforce kupiga mate nusura aning'ate ulimi niliponea chupuchupu nikatoa ulimi fasta. mpenzi nampenda sana na yeye naamini ananipenda huwa anadai nikishamuoa hayatakuwa na shida.
Tena sababu itakuwa sio zinaa tena lakini hofu yangu ni kuwa nisije kuoa halafu mambo yakaendelea kuwa kama yalivosasa mambo ya kuoa halafu unapangiwa masharti ya kulala na mkeo siyataki.
Wataalam naombeni mnisaidie kwa ushauri au kwa anaejua dawa ya majini mahaba plz nisaidieni nimechoka kula kwa macho kilasiku.
Karibuni kwa maoni yenu