AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
- Thread starter
- #21
Mmmh inabidi nistuke mapema aisee naweza nikaja lia kweliWewe owa huyo uje ulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh inabidi nistuke mapema aisee naweza nikaja lia kweliWewe owa huyo uje ulie
Kweli yata niruhusu? Na yataacha kunipangia masharti na siku nimeyaudhi hayawezi kunidhuru?hayo majini hayapendi uzinzi, wewe mwoe ndio yatakuruhusu ule tunda
Sheikh usije ukaniponza maana naskiaga huwa yakimpenda mtu huwa hayataki binadamu aingilie mapenzi yaoOwa tuuu hakuna kitu kizuri mungu asiweke rehma zake na kuwapa taafifu, Fanya ndoa sheikh
Asante nitaufanyia kazi ushauri wakoMpeleke kwa Mchungaji Lusekelo mzee wa Upako atawafukuzilia mbali kwani majini ni mashetani na kamwe hakuna shetani mzuri au anayelinda binadamu, shetani atakupa kitu ila kwa upande mwingine ana chukua zaidi ya alichokupa! else mpeleke kwa Prophet T B Joshua wa uhakika.
Hapo sasa pia jamaa anataka asidiwe ili atmize lengo lake la kuvunja amri ya6 km anamalengo nae basi afanye hivoJambo la msingi sana hili mkuu lakin inahitaji imani kubwa sana sijui kama anaamini njia hiyo kama itamsaidia
Mmmh kumbe sikuelewa mimi nilijua chungu cha kupikia tu kumbe ni mchanganyiko wa dawa za mitishamba duuh nitapata wapi hiyo nyungu mkuu ?Nyungu ni dawa inayotumika kutibu/kuwatuliza watu wenye majini hata awe mbishi vp lzm atatulia
Ni mchanganyiko wa majani na vitu vingine sivipati vzr ambayo huwekwa kwenye sufuria au bakuli lkn ichemshwe ili mvuke na harufu Fulani itoke ..jini akiisikia basi hufadhaika,kuumia na kutulia utakuwa na uwezo wa kumfanya chochote
Asante nitaufanyia kazi ushauri wako
Hata cjui wapi maana mm mwenyewe niliona wkt chalii mmoja alikuwa na madude hayo alikuwa msumbufu cna lkn akiona nyungu anakuwa mpole.ni majani na mitishamba fulan hv wataalam watakuwa wanazijua..chungu ndio kitibu khaaMmmh kumbe sikuelewa mimi nilijua chungu cha kupikia tu kumbe ni mchanganyiko wa dawa za mitishamba duuh nitapata wapi hiyo nyungu mkuu ?
Habar zenu jaman mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenz ambaye sijawahi fanyanae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wakiume na mwingine wakike mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu hata kumshika tu nishida. Kunasiku niliforce kupiga mate nusura aning'ate ulimi niliponea chupuchupu nikatoa ulimi fasta. Demu na mpenda sana nayeye naamini ananipenda huwa anadai nikisha muoa hayatakuwa na shida tena sababu itakuwa sio zinaa tena lakini hofu yangu ni kuwa nisije kuoa halafu mambo yakaendelea kuwa kama yalivo sasa mambo ya kuoa halafu unapangiwa masharti ya kulala na mkeo siyataki. Wataalam naombeni mnisaidie kwa ushauri au kwa anaejua dawa ya majini mahaba plz nisaidieni nimechoka kula kwa macho kilasiku
Karibuni kwa maoni yenu
Mkuu badala unisaidie naww unatka kunichapiamlete kwangu mi daktar wa mapenz
Mmmh kumbe sikuelewa mimi nilijua chungu cha kupikia tu kumbe ni mchanganyiko wa dawa za mitishamba duuh nitapata wapi hiyo nyungu mkuu ?
Aende kwa mzee wa bapa😀Mpeleke kwa Mchungaji Lusekelo mzee wa Upako atawafukuzilia mbali kwani majini ni mashetani na kamwe hakuna shetani mzuri au anayelinda binadamu, shetani atakupa kitu ila kwa upande mwingine ana chukua zaidi ya alichokupa! else mpeleke kwa Prophet T B Joshua wa uhakika.
Ohooo linikaze tena mwanaume mwenzie kwann husemi lile lakike litanitakaUkimuoa ilo jini la kiume kuna siku litakukaza tu.