Majini mahaba yananinyima raha, nifanyeje?

Owa tuuu hakuna kitu kizuri mungu asiweke rehma zake na kuwapa taafifu, Fanya ndoa sheikh
Sheikh usije ukaniponza maana naskiaga huwa yakimpenda mtu huwa hayataki binadamu aingilie mapenzi yao
 
Asante nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Jambo la msingi sana hili mkuu lakin inahitaji imani kubwa sana sijui kama anaamini njia hiyo kama itamsaidia
Hapo sasa pia jamaa anataka asidiwe ili atmize lengo lake la kuvunja amri ya6 km anamalengo nae basi afanye hivo
 
Mmmh kumbe sikuelewa mimi nilijua chungu cha kupikia tu kumbe ni mchanganyiko wa dawa za mitishamba duuh nitapata wapi hiyo nyungu mkuu ?
 
Asante nitaufanyia kazi ushauri wako

Kama wewe ni Mkatolilki mpeleke kwa Father Nkwera pale River Side Ubungo Maombi ni bure hakuna cha kupanda mbegu wala senti tano wee nauli yako tu ya kukufikisha pale na kurudi nyumbani. Completely free even if you are not a Catholic you will be attended without any cost!
 
Mmmh kumbe sikuelewa mimi nilijua chungu cha kupikia tu kumbe ni mchanganyiko wa dawa za mitishamba duuh nitapata wapi hiyo nyungu mkuu ?
Hata cjui wapi maana mm mwenyewe niliona wkt chalii mmoja alikuwa na madude hayo alikuwa msumbufu cna lkn akiona nyungu anakuwa mpole.ni majani na mitishamba fulan hv wataalam watakuwa wanazijua..chungu ndio kitibu khaa
 
Sepa haraka sana. Ya nini kuwa na mpenzi ambaye huna amani naye mnapokuwa pamoja?

 
Mmmh kumbe sikuelewa mimi nilijua chungu cha kupikia tu kumbe ni mchanganyiko wa dawa za mitishamba duuh nitapata wapi hiyo nyungu mkuu ?

Badala ya kufukuza mashetani/majini wee wantaka kuwatuliza tu ili iwe nini? Ukiwatuliza ndo mwanzo gomvi majumbani, watoto kuwa watukutu, wadokozi(wezi), kupota zero darasani na kadhalika even mimba kutoka....
 
Aende kwa mzee wa bapa😀
 
Ukimuoa ilo jini la kiume kuna siku litakukaza tu.
 
Kwa hiyo hilo jini la kiume linamnanihii na hilo la kike linamsaga...na wewe unataka! Sasa subiri hilo la kiume liwe popobawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…