Majini mahaba yananinyima raha, nifanyeje?

Usimwoe kabla hafunguliwa Na hilo tatizo ukijidanganya litakwisha.
Majini mahaba yana wivu mkali sana hutafurahia hiyo ndoa maisha yako yote.Kwanza atafungwa kizazi Hata zaa.
Ushauri mpeleke kwenye maombezi.
 
Mkuu we kula kitimoto alafu jipake mafuta yake kwenye mdomo na dushee kisha kapige mgegedo majini yenyewe yatasepa
 
Kama huyo demu yuko tayari kuombewa yaondeke ni pm ataombewa
 
NJOONI KWA BWANA YESU MUUPOKEE UHURU WENU.
Binafsi siwezi kuja kwa bwana Yesu kwaajili ya mke, hapo nitakuwa nimempenda zaidi mke kuliko huyo Yesu ni bora niamue tu kwa mapenzi yangu binafsi kumpokea Yesu sio sababu ya mapenzi
 
Kama unampenda utamlinda cha msingi we fuata masharti mambo yakiendelea kuwa hivyo tafuteni dawa nyingine za kuwatoa hao
 
Ukikubali kumuoa huyo mwanamke kabla ya hayo mashaytwaan kutolewa itakupelekea nawe kuja kuwatii hao viumbe na kuwa mtumwa wao
 
Usingonoke kabla ya ndoa.
Sisi kaka zako tunajuta sana maana tulianza kumega mapema sana kabla hata wake zetu hawajaumbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…