wwe mleta mada Uufunuo pamoja na Injili ya Yohana ni vitabu vilivyoandikwa na Yohana, akilichokiandika ndani ya vitabu hivyo, ni maoni yake yeye Yohana kuhusu Mungu jinsi alivyokuwa akimwangalia, jambo la kuzingatia ni hili, dini na wagaga wa kienyeji ni kundi moja, wote hawa wanauza pepo, kila kundi hujazwa PEPO, wagaga hujazwa PEPO na wana dini hujazwa PEPO, wanadini wao wanadai pepo wanaowajaa ni Mtakatifu, bali PEPO ambao huwavaa waganga wadini huwa wanadai ni PEPO WA chafu, kusema kuwa kuna aina nyingi za majini hizo ni fikra za binadamu, Je kuna mtu yeyote kishawahi kumwona shetani? na km shetani aliumbwa na Mungu ni kwanini Mungu huyu amwache shetani akimsumbua hata sasa?, kuhusu shetani kuwa mtawala wa dunia si kweli ni uongo, dunia na mali zote zilizopo ni mali ya Mungu, km kuna shetani basi huyo shetani hana lolote mdebwedo tu, Mungu alimpa binadamu uchaguzi ,maovu yote anayoyatenda binadamu, ni binadamu mwenye kaamua kutenda kwa hiari yake, ukitaka nikubaliane na hoja yako kwamba kuna shetani na watu huwa wanadai wapofanya makosa ni shetani kawadanganya, wapi uliona mahakama yeyote duniani ikimpelekea shetani samasi ya kujibu kesi mahakamani?