shetani ni tabia.shetani siyo kiumbe.
jini ni kiumbe wa Mungu.
shet
shetani ni tabia.shetani siyo kiumbe.jini ni kiumbe wa Mungu.
shetani maana yake ni tabia ovu.Majini yaliyoasi huitwa shetani.
pia Binaadamu aliyeasi pia anaitwa shetani sabb ya kitendo/tabia chafu.
Hakuna malaika shetani,malaika wote ni watiifu kwa Mungu na hawana matamanio.
kusema malaika aliyeasi ni shetani siyo kweli ukimwondoa Iblisi ambaye hapo kabla alikuwa jini.
usi-misconcept maana ya neno shetani-shetani ni tabia ovu,hakuna kiumbe kinachoitwa shetani..kuna shetani binaadamu na shetani jini
Matayo 16:
21 Tangu wakati huo Yesu alianza kuwajulisha waziwazi wanafunzi wake: "Ni lazima mimi niende Yerusalemu, na huko nikapate mateso mengi yatakayosababishwa na wazee, makuhani wakuu na walimu wa Sheria. Nitauawa, na siku ya tatu nitafufuliwa."
22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: "Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!"
23 Lakini Yesu akageuka, akamwambia Petro, "Ondoka mbele yangu Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya mungu bali ni ya kibinadamu!"
*Yesu anamwambia Petro mawazo yako ni ya ki binaadamu na si ya ki Mungu ,shetani ww..hapa tunajifunza Shetani ni uovu wa petro
yohana 6
68 Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
69 Nasi tumesadiki, tena tumejua, ya kuwa wewe ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
70 Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?