ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #181
Kwanini hatutakiwi kujua na kwa nini hatuna haja ya kujua?Lengo la uwepo wa Dunia halina jibu kwetu sisi wanadam maana hatutakiwi kujua na hamna haja ya kujua.
Kwanini hatutakiwi kujua na kwa nini hatuna haja ya kujua?Lengo la uwepo wa Dunia halina jibu kwetu sisi wanadam maana hatutakiwi kujua na hamna haja ya kujua.
Hivyo kwa majini , wapo wanaopata utajiri kupitia hayo majini ila hauwezi kuamini .Oxygen huioni ila mtokeo yake yanaonekana
Mhm haya sawaHivyo kwa majini , wapo wanaopata utajiri kupitia hayo majini ila hauwezi kuamini .
Mhm haya sawa
Binadamu ni kiumbe dhaifuKama ukijua binadamu ni kiumbe dhaifu hata katika kutumia milango ya fahamu yake , binadamu kuna vitu vingi zinamuhitaji kutumia vifaa saidizi .
Kuna mnyama kama bundi anaweza kuhisi mzogo kwa zaidi ya kilimoter nyingi na harufu akaipata kupitia pua zake , mbwa wale wanasafiri hata kilomita 5 kumfuata jike kwa sababu wakati wa usiku hasa jike akiwa katika joto anatoa maji yanayomfanya ahisi harufu ..Wewe pua zako zinaweza kuhisi harufu hata iliyopo kilimeter moja
Shukran sana mkuu 🙏🙏Umeuliza kama na amin katika Din.
Jibu ni ndio na hapana,
Ndio kwenye mambo ambayo wako sahih na hapana kwenye mambo wanayokosea mfano kushindwa kukielezea kitu ambacho kipo had watu wanahis hakipo.
Na umeuliza izi nguvu nazozielezea nimejifunzia wap?
Jibu n iman au mambo ya roho ukifundishwa unapandikizwa itikadi kifupi unapotezwa kwa kumezeshwa theology ya taasis.
Ukwel unapatikana kwakuwa na fikra huru.
Mfano roho n fikra, mapepo n fikra has, utasemaje iki kitu hakipo.
Mungu n nguvu kuu iliyopo kila mahali na kwa wakat mmoja, kwenye kila kinachoonekana na kisichoonekana kwa wakat mmoja na viwango tofaut apa ndo unapata uungu au nguvu ya kitu bas iyo nguvu ndo Mungu ndan ya kiumbe mfano nguvu ya tiba kwenye miti, maajabu ya wanyama, ufaham wa binadam na nguvu zilizo nje ya ufaham wetu had sayans ikatumia vifaa kugundua universal evolution/Bing Bang theory japo haiko perfect ila inachora taswira nguvu inavyoweza kujizalisha nakuwa kitu kikubwa au kuwa vitu ving.
Au namna mwili wa binadam ulivyoumbika kwa kuanza na nguvu sifuri had kuwa nguvu kamili yaan binadam,
Hatua zipo 14 had akawa mwanadam;
1.Void-utupu au hamna kitu
2.Vibration-mtetemo, nishat kuzaliwa
3.Waves-Nishat kusafiri eneo moja had lingne/kusambaza uhai
4.Quarks na Photons-Chembe ujenzi
5.Sub Atom-chembe zinazounda nguvu ya mwili/umeme wa mwili yaan +Proton, -Electron na +-Neutron.
6.Atom-Element au maada isiyogawika
7.Chemical compound-Dutu au maada kamili
8.DNA-Vinasaba au urith
9.Sub cell-Cell ndogo ndan ya cell inayobeba urith
10.Cell-Kiumbe kidogo zaid, mkusanyiko wake ndo unaunda kiumbe hai na tissue zake
11.Tissue-Mkusanyiko wa cell za aina moja unaounda viungo vya mwili
12.Viungo kama ubongo mkono moyo figo n.k
13.Mifumo kama upumuaji uzazi misuli mifupa mkojo kinga homon n.k
14.BINADAM
Ivyo ndivyo nguvu inavyojizalisha nakutengeneza kiumbe au vitu vingne vyote. Iyo nguvu ndo Mungu, Kusema haipo au hayupo kunatokana na jins Din zilivyomtafsir et n kiumbe wakat kiumbe lazima kiumbwe.
Nguvu iliyozalisha vitu vyote tunavyoviona na tusivyoviona ipo na iyo ndo Mungu.
Ndo mana nikatoa mfano wa uo mtiririko au uumbaji unavyofanyika had kinakuwa kiumbe kamili au vitu kamili vilivyotuzunguka.
Changamoto ni pale unapo changanya Mungu na Nature kwa maana ya sayansi•Mungu yupo.
•Dunia tunayoijua sisi haifikii hata nukta ya maisha ya Dunia tusio ijua kwaiyo sisi hatujui vitu vingi sana.
•Dunia ni kamilifu na viumbe wote tokea kumbwa kwake.
•Lengo la uwepo wa Dunia halina jibu kwetu sisi wanadam maana hatutakiwi kujua na hamna haja ya kujua.
•Mifumo ya kimaisha inaongozwa na nature, kiumbe chochote kikifanya nje ya nature yake kitaharibika na kitakufa
•Kufa sio laana ni mfumo wa muhusika alitaka iwe hivo.
Nina imani Mungu hakutaka mashekhe wachungaji mawakili madaktari wala ma engineer ye keshaweka alichotaka kikae na kikawa timilifu, kilakiumbe ilibidi kiishi ndani ya circle ya nature yake
Sisi kama binadam ilibidi tule tunywe tuliwe na kufa ni kama tunda likikomaa inabidi litoke tuu lifate ardhi na kuanza kikazi upya
Inshort Dunia ilibidi ibaki kuobgozwa na nature tuu
Mfano;
- Kuhisi kuhitaji kufanya ngono ni nature
-Kuhisi khofu ni nature
-kuhisi njaa ni nature
Madhara mengi yametutokea sababu ya kuboresha na kuacha nature.
Mkuu shikamooChangamoto ni pale unapo changanya Mungu na Nature kwa maana ya sayansi
Naomba ufafanuzi kwenye sentensi yako ya mwisho……..“Madhara mengi yametutokea sababu ya kuboresha na kuacha nature”
Mimi nadhani maisha ya binadamu yameboreka maradufu kuliko ya zamani kwa kuijua vizuri nature inafanyikaje na tuka take advantage kuboresha maisha
Nipo mkuuMkuu shikamoo
Umeibukia huku 😊
Sijakuona kitambo
Sawa karibuNipo mkuu
Inategemea na unachoweka focus, kama ukiweka akilini mungu hana action yoyote basi utaona kila kitu hana msaada na kinyume chake, hivyo jaribu kuwa nje kwa muda usiegemee sana pande zote halafu fanya research ya bila bias yoyote kwenye kila angle ( sayannsi, dini na mythical stories,) halafu angalia conclusion yake, piaKwa sababu hakuna action yoyote
Kwa yanayoendelea kwenye dunia aliyoiumba mwenyewe
AsalamalekoooNimekuja
Sawa nimekuelewa kijanaInategemea na unachoweka focus, kama ukiweka akilini mungu hana action yoyote basi utaona kila kitu hana msaada na kinyume chake, hivyo jaribu kuwa nje kwa muda usiegemee sana pande zote halafu fanya research ya bila bias yoyote kwenye kila angle ( sayannsi, dini na mythical stories,) halafu angalia conclusion yake, pia
sio lazima awe exactly kama wa kwenye vitabu vya dini ila yupo awe energy au vyovyote vile ila mimi kwa upande wangu naamini yupo
ShesRise_1
Waleikum salaam 😃Asalamalekooo
Nowadays sikuoni sana jukwaaniWaleikum salaam 😃
Majukumu tuNowadays sikuoni sana jukwaani
Unajua hata mimi huwa nakuwa na theory kuwa huenda mungu hayupo kama kwenye dini wanavyotuambia sizitirii sana mkazo ila zipo kichwani pia huwa nazizungumzia humu jukwaaniSawa nimekuelewa kijana
Yaani Mungu mwenyewe kama ni kwenye bibilia na Qur’an lol kashesheUnajua hata mimi huwa nakuwa na theory kuwa huenda mungu hayupo kama kwenye dini wanavyotuambia sizitirii sana mkazo ila zipo kichwani pia huwa nazizungumzia humu jukwaani