Umesema kwamba malaika si Shetani, bali Shetani ni nguvu iliyomwingia malaika Lucifer na kumfanya awe mwovu na akawaambukiza wengine ambao ndio hao mapepo
Sasa hiyo nguvu ilitoka wapi, na chanzo chake hasa ni nini?
Au Mungu ndiye mmiliki au chanzo cha nguvu hiyo?
Ulimwengu una kanuni na kanun ndo zinafanya kila kitu kiwe ivi kilivyo haijalish kutakuwa na usawa, kutakuwa kunaeleweka au la.
Kwenye kanuni 12 za ulimwengu, kanuni namba 10 n Polarity/Kinyume.
Kinyume cha Mungu automaticaly n shetan, apo sio shetan/uasi kuumbwa bali n uumbaji kinyume chake uharibifu, Muumba/Mungu kinyume chake n Muharibifu/Shetan, Nguvu uumbaji/Mungu kinyume chake n Nguvu Uasi/Shetan.
Au kwa lugha ya sayans izi nguvu n highest gravity, negative and postive energy.
Izi n power au nguvu kinzan ambazo hakuna iliyomuumba mwenzake bali kuwepo kwa postive lazima negative itokee na apa ndipo inatokea kanuni namba 12 ya ulimwengu inayoitwa GENDER/JINSIA_maisha uhai au uwepo wa kitu chochote unategemea muunganiko wa KE na ME, hakuna umeme unaowaka bila has na chanya, hakuna kitu ulimwengu huu chanzo chake sio gender.
Mungu yupo ila shida zote tunazopitia n process ya nguvu chanya kuua nguvu has/Mungu kumuangamiza shetan, kuwe na chanya bila hasi mfano umeme uwake kwa waya nmoja tu wa chanya bila hasi, ulimwengu utengeneze uhai kwa nguvu moja tu ya baba bila mama.
Swali kuu n je? Mungu hakujua hii nguvu itatokea na kumsumbua! maana hajaiumba bali hii imetokea kikanuni za ulimwengu-CAUSE and EFFECT/Sababu na athari
Apa aliangalia faida na hasara.
Faida au manufaa yakiwa makubwa kushinda hasara au changamoto ilo jambo unaenda nalo uku ukipambana na changamoto ndan ya safari na waathirika n kuwaelimisha waupokee ukwel ata kama mchungu na apo ndo zinaibuka sheria na amri zake, pepo na jehanam.
Why!? Afanye ivi n kwasababu anaongozwa na kanuni zake binafsi Choice, Free will and Judgenment/uchaguz, Hiari na Hukum.
Ivyo ndivyo ilivyo,
Mungu yupo, shetan yupo.
Shetan sio kusudi ila process yakumuondosha haikuwa sababu sis tusiwepo,
Tupo, tumejaa tele na tunatamba bila kujali kuna vita kati ya Mungu na kivuli chake.
Kikubwa n sisi kuzoea na kufuata sheria kama maisha ya masharik ya kati vile; wanazaliwa wanakua wanakufa n vita tu kikubwa n kujua kuish mazingira ya vita, mabom ukwepe vipi, chakula pesa utafute vip. Sio kwamba unapenda ila lengo la vita kama n zuri unavumilia shida na changamoto zote unazipokea.
Ulimwengu una vita ya izi nguvu kinzan, izi nguvu zipo kwel ndo mana tunaona matokeo japo n matokeo mseto chungu na tamu ila hatuna budi na haiondoi uwepo wa hawa Mungu na Shetan.