Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
"Sema: Ufunuo umenijia kwamba kundi la majini walisikiliza, na wakasema: Hakika sisi tumesikia Qur'an ya ajabu, inayoongoza kwenye uwongofu, basi tumeiamini; wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi."
"Na hakika tulipoisikia Uwongofu tuliuamini mara moja. Na anayemuamini Mola wake Mlezi hatakuwa na khofu ya kupunjwa wala kudhulumiwa."
"Na tulielekeza kundi la majini kwako likisikiliza Qur'an. Walipofika wakaambiana: Sikilizeni! Walipoisha, walirejea kwa watu wao kuwaonya. Wakasema: Enyi watu wetu! Hakika tumesikia Kitabu kilichoteremshwa baada ya Musa, kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake, kinaongoza kwenye haki na kwenye njia iliyonyooka."
Ndio kwani wewe unajua peponi ki wapi?Kwahiyo Majini na wenyewe wataenda Peponi.
sehem ambayo Ukifa Roho inaenda.Ndio kwani wewe unajua peponi ki wapi?
Upo sahihi.kitabu cha Mwanzo kinasema malaika waliotenda dhambi walitengwa katika Giza wakisubiri hukumu.sehem ambayo Ukifa Roho inaenda.
Na Kusubiri siku ya Hukumu ili kujua kama unaenda Mbinguni (Mungu aliko na malaika wake ) au Jehanamu (mahali pa mateso na kuna ziwa la moto).
Ndio tumekalilishwa hivyo🤓🤓🤓
Kwahiyo Hoja yangu kuwa Na majini nao wataenda Peponi nina maana na wao watasubiria kuhukumiwa?.
I hope umenipata sasa.
Kwahiyo Majini na wenyewe wataenda Peponi.