Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine.
1. Waganga
2. Manabii wa uongo.
3. Saluni/Urembo na mavazi.
Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi akawashindisha watoto na njaa, anasubiri wewe mume uje ununue chakula!
Lakini kwa mganga atapeleka mshahara wote au kwa jamaa mmoja mjanja mjanja anajifanya nabii, atapelekewa salary na atakopewa na nyingine.
Sehemu ya tatu ni saluni, huko nako pesa nyingi zinapelekwa.