Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

Yes tunajenga merikebu ya kubeba wanyama pori kama ya nabii Nu halafu tuna advertize CNN Serengeti coming to your home town soon , a must see Simba world tour, all the way from Tanzania.
 
Kwani sisi ,sihatujakuwa na lockdown,sasa imekuwaje watalii wasije hata tuwaze kuwapelekea watalii wanyama huko huko walipo? Kweli majira yaenda kasi na sii mchezo.
Kama Hilo halitatumika, basi wizara iongeze ubunifu
 
Kwa mfano mimi huwa napenda kufanya mapumziko yangu Mji wa Tanga, pale hakuna wanyama.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom