Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
2021 - 2030
Majeshi mezoea vibudu vya kunyonga SI kuchinjaWacha vita itokee tupate mademu wa bure ( wakimbizi)
Watanzania wepi watakuwa funguo? Hawa hawa wanapenda kibao cha "kuna nazi kati kwa kati?"Na Tanzania ndio nchi itakayokuwa funguo kuongoza Afrika kuwa dola kuu na kuongoza uamsho wa kiuchumi, kiimani kwa Kristo Yesu nk nk.
Andiko lako linazunguka sanaSalaam!
Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha.
Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili.
Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa kuingia duniani, sasa ni vita zinaendelea,
Ile vita ya Gaza, Ukraine na Urusi, Kisha Israel na Irani.
Mtu na asikudanganye, hakuna vita kuu ya tatu ya Dunia, vita ijayo ni vita ya kiimani, wamwaminio KRISTO YESU/Yeshua vs wamkataao.
Vita inayoendelea ya Iran na Israel inaenda kukua, marafiki wa Iran wataungana kupigana na marafiki wa Israel.
Wazalishaji wa mafuta wataacha kuzalisha mafuta sababu ya vita, mifumo ya kusafiri na usafirishaji itakufa, meli zitazamishwa za kusafirisha Nishati ya mafuta, ndege zitaangushwa, mambo yatabadikika.
Na Katika vita hii, mataifa yatapigana Hadi kwa nuclear, Hali itakuwa Tete duniani.
Hapatakuwa Tena na mikopo kwa nchi maskini sababu Kila nchi itajifungia kutatua matatizo yake.
Umoja wa Mataifa utasambaratika sababu ya vita na uchumi kuwa mbaya.
Nchi za Afrika zitataabika sana sababu hapatakuwa na mawasiliano na nchi za huko mbali, nchi za Afrika zitalazimika kutafuta namna ya kujitegemea.
VIONGOZI WATAKIMBIA NAFASI ZA KISIASA.
Katika Hali hii ngumu, hapatakuwa na pesa za kuiba, Hali itakuwa Tete, viongozi wasio na dira na wezi na mafisadi watatimuliwa na wananchi sababu Hali itakuwa ngumu,
Itafika time, kiongozi anakosekana, Kila atakayechaguliwa, ataogopa sababu ya hali ngumu.
Ndipo kutainuka viongozi sahihi waliochaguliwa na Mungu kulisaidia Nchi za Afrika kwa njia ngumu, Wataibuka Marais watakaoisaidia Afrika kuzalisha chakula na kujitegemea, Afrika itailisha Dunia na Nchi tajiri zitarudi kuomba msaada Africa.
Injili itahubiriwa duniani kote kutokea Africa,
Watakatifu watakusanywa KUPITIA Hali hii ngumu ijayo iliyoruhusiwa, na hapo ndipo unyakuo utaotokea.
Na Tanzania ndio nchi itakayokuwa funguo kuongoza Afrika kuwa dola kuu na kuongoza uamsho wa kiuchumi, kiimani kwa Kristo Yesu nk nk.
Ni lini?
Ni majira haya haya ya miaka 7. Yaani 2021-2030....
Mungu ibariki nyikani.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Aamen
Ntajatibu kupangilia ikae ktk mtiririko mzuri zaidi.Andiko lako linazunguka sana
Kuna Mtu mmoja alizungumza mahali fulani akasema kwamba hao wazungu tunaowaona leo huko Ulaya wanaishi kwa amani na utulivu kuna siku zinakuja huko kwao hakutakalika...kwa sababu wamewakaribisha wageni na wageni wanazaliana na kuongezeka kuwa na nguvu.Salaam!
Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha.
Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili.
Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa kuingia duniani, sasa ni vita zinaendelea,
Ile vita ya Gaza, Ukraine na Urusi, Kisha Israel na Irani.
Mtu na asikudanganye, hakuna vita kuu ya tatu ya Dunia, vita ijayo ni vita ya kiimani, wamwaminio KRISTO YESU/Yeshua vs wamkataao.
Vita inayoendelea ya Iran na Israel inaenda kukua, marafiki wa Iran wataungana kupigana na marafiki wa Israel.
Wazalishaji wa mafuta wataacha kuzalisha mafuta sababu ya vita, mifumo ya kusafiri na usafirishaji itakufa, meli zitazamishwa za kusafirisha Nishati ya mafuta, ndege zitaangushwa, mambo yatabadikika.
Na Katika vita hii, mataifa yatapigana Hadi kwa nuclear, Hali itakuwa Tete duniani.
Hapatakuwa Tena na mikopo kwa nchi maskini sababu Kila nchi itajifungia kutatua matatizo yake.
Umoja wa Mataifa utasambaratika sababu ya vita na uchumi kuwa mbaya.
Nchi za Afrika zitataabika sana sababu hapatakuwa na mawasiliano na nchi za huko mbali, nchi za Afrika zitalazimika kutafuta namna ya kujitegemea.
VIONGOZI WATAKIMBIA NAFASI ZA KISIASA.
Katika Hali hii ngumu, hapatakuwa na pesa za kuiba, Hali itakuwa Tete, viongozi wasio na dira na wezi na mafisadi watatimuliwa na wananchi sababu Hali itakuwa ngumu,
Itafika time, kiongozi anakosekana, Kila atakayechaguliwa, ataogopa sababu ya hali ngumu.
Ndipo kutainuka viongozi sahihi waliochaguliwa na Mungu kulisaidia Nchi za Afrika kwa njia ngumu, Wataibuka Marais watakaoisaidia Afrika kuzalisha chakula na kujitegemea, Afrika itailisha Dunia na Nchi tajiri zitarudi kuomba msaada Africa.
Injili itahubiriwa duniani kote kutokea Africa,
Watakatifu watakusanywa KUPITIA Hali hii ngumu ijayo iliyoruhusiwa, na hapo ndipo unyakuo utaotokea.
Na Tanzania ndio nchi itakayokuwa funguo kuongoza Afrika kuwa dola kuu na kuongoza uamsho wa kiuchumi, kiimani kwa Kristo Yesu nk nk.
Ni lini?
Ni majira haya haya ya miaka 7. Yaani 2021-2030....
Mungu ibariki nyikani.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Aamen
Mara vita ya kristu, mara Mungu ibariki TanzaniaSalaam!

Hilo tayari wamelijua,Kuna Mtu mmoja alizungumza mahali fulani akasema kwamba hao wazungu tunaowaona leo huko Ulaya wanaishi kwa amani na utulivu kuna siku zinakuja huko kwao hakutakalika...kwa sababu wamewakaribisha wageni na wageni wanazaliana na kuongezeka kuwa na nguvu.
Kwa hiyo miaka kadhaa ijayo wageni na dini yao ndio watatamalaki na kuanza kutesa na kuua wenyeji (wazungu) hali itakayopelekea wazungu wengi sana kukimbilia nchi za kiafrika hasa nchi zisizofungamana na upande wowote ikiwemo Tanzania na baadhi yao watapewa ukimbizi na baada ya mida mrefu watakuwa uraia na kuendelea na shughuli zao za kiuchumi kama kawaida...
Tusishangae miaka kadhaa ijayo Afrika tunayodhania ni ya weusi ikaja kuwa na mchanganyiko wa watu wa aina tofauti...pia Ulaya tunayoifahamu ambayo imejaa wakristo ikaja kuwa Ni mataifa ya kiislamu....
😂Amka utajikojolea kitandani.
Ndugu umeandika na kunukuu mwenyewe kuwa,Nikupitishe kwenye maandiko kidogo!.
1. Siku na saa hajui mtu yeyote , ni siri ya Baba
- Mathayo 24:36“Lakini kuhusu siku ile au saa hiyo hakuna ajuaye, wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.”
- Marko 13:32 “Lakini kuhusu siku ile au saa hiyo hakuna ajuaye, wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba.”
2. Majira na nyakati ni siri ya Mungu
- Matendo ya Mitume 1:7 “Si kazi yenu kujua nyakati wala majira ambayo Baba ameweka kwa mamlaka yake mwenyewe.”
3. Siku ya Bwana itakuja kwa ghafla
- 1 Wathesalonike 5:2 “Siku ya Bwana huja kama mwivi ajavyo usiku.”
- 2 Petro 3:10 “Siku ya Bwana itakuja kama mwivi... na vitu vyote vitateketezwa kwa moto.”
4. Wito wa kujiandaa kila wakati
- Mathayo 24:42 “Kesheni basi, kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.”
- Mathayo 25:13“Kesheni basi, kwa kuwa hamjui siku wala saa.”
🕊 Ujumbe wa Leo
Tusitafute tarehe au ishara zisizo sahihi kuhusu mwisho wa dunia. Badala yake, tukae tayari kila wakati, tukiishi kwa utakatifu, upendo, na imani thabiti kwa Yesu Kristo. Siku ile itakuja kwa ghafla je, tuko tayari?
-C&P Chavalikungu PhD
umeandika ujinga mtupu....ya kwetu yanatushinda...kazi kujifanya tunajua ya wengine kuliko hata wao wanavyoyajua....Salaam!
Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha.
Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili.
Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa kuingia duniani, sasa ni vita zinaendelea,
Ile vita ya Gaza, Ukraine na Urusi, Kisha Israel na Irani.
Mtu na asikudanganye, hakuna vita kuu ya tatu ya Dunia, vita ijayo ni vita ya kiimani, wamwaminio KRISTO YESU/Yeshua vs wamkataao.
Vita inayoendelea ya Iran na Israel inaenda kukua, marafiki wa Iran wataungana kupigana na marafiki wa Israel. Mbeleni inageuka inakuwa vita ya kisasi kiimani, watakatifu, wamwaminio Yesu wataonekana maadui na kuanza kuwindwa, pa kukimbikia ni huku Nyikani ambako Nabii, Mtumishi wa Mungu atakuwa amekalia kiti Cha ufalme kwa niaba ya Mungu kuruhusu mabadiliko haya muhimu Katika nyanja mbalimbali.
Wazalishaji wa mafuta wataacha kuzalisha mafuta sababu ya vita, mifumo ya kusafiri na usafirishaji itakufa, meli zitazamishwa za kusafirisha Nishati ya mafuta madawa nk nk, ndege zitaangushwa, mambo yatabadikika.
Na Katika vita hii, mataifa yatapigana Hadi kwa nuclear, Hali itakuwa Tete duniani.
Hapatakuwa Tena na mikopo kwa nchi maskini sababu Kila nchi itajifungia kutatua matatizo yake. Ajira zitavurugika, kilimo pekee ndio secta itakayosurvive, shambani ndio patakuwa mahali salama.
Umoja wa Mataifa utasambaratika sababu ya vita na uchumi kuwa mbaya na uchumi wa Dunia kuanguka.
Nchi za Afrika zitataabika sana sababu hapatakuwa na mawasiliano na nchi za huko mbali, nchi za Afrika zitalazimika kutafuta namna ya kujitegemea.
VIONGOZI WATAKIMBIA NAFASI ZA KISIASA.
Katika Hali hii ngumu, hapatakuwa na pesa za kuiba, Hali itakuwa Tete, viongozi wasio na dira na wezi na mafisadi watatimuliwa na wananchi sababu Hali itakuwa ngumu,
Itafika time, kiongozi anakosekana, Kila atakayechaguliwa, ataogopa sababu ya hali ngumu.
Ndipo kutainuka viongozi sahihi waliochaguliwa na Mungu kuzisaidia Nchi za Afrika kwa njia ngumu, Wataibuka Marais watakaoisaidia Afrika kuzalisha chakula na kujitegemea, Afrika itailisha Dunia na Nchi tajiri zitarudi kuomba msaada Africa.
Injili itahubiriwa duniani kote kutokea Africa, Utaotokea uamsho mkubwa kuanzia Afrika kwenda Dunia nzima kuwakusanya wana wa Mungu.
Watakatifu watakusanywa KUPITIA Hali hii ngumu ijayo iliyoruhusiwa, na hapo ndipo unyakuo utaotokea.
Na Tanzania ndio nchi itakayokuwa funguo kuongoza Afrika kuwa dola kuu na kuongoza uamsho wa kiuchumi, kiimani kwa Kristo Yesu nk nk.
Ni lini?
Ni majira haya haya ya miaka 7. Yaani 2021-2030....
Mungu ibariki nyikani.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Aamen
Ya kwetu yametushinda vp ilhal nakwambia nchi hii itapokea wakimbizi kutoka duniani kwote?umeandika ujinga mtupu....ya kwetu yanatushinda...kazi kujifanya tunajua ya wengine kuliko hata wao wanavyoyajua....
huoni kama umeandika ujinga..... we umeyajulia wapi...ina maana wewe unaijua mashariki ya kati kuliko raia wenyewe wa mashariki ya kati....na unaelezea upuuzi wako kwa confidence kabisa ...wakati unweza kuta hata kenya tu hapo jirani hujawah fikaYa kwetu yametushinda vp ilhal nakwambia nchi hii itapokea wakimbizi kutoka duniani kwote?
Kwamba Dola la Afrika, headquarters itakuwa ni hapa Nchini?
Huyajui hayo?
Nini kimekupata Hadi udhani umesoma ujinga?huoni kama umeandika ujinga..... we umeyajulia wapi...ina maana wewe unaijua mashariki ya kati kuliko raia wenyewe wa mashariki ya kati....na unaelezea upuuzi wako kwa confidence kabisa ...wakati unweza kuta hata kenya tu hapo jirani hujawah fika