Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

Na Tanzania ndio nchi itakayokuwa funguo kuongoza Afrika kuwa dola kuu na kuongoza uamsho wa kiuchumi, kiimani kwa Kristo Yesu nk nk.
Watanzania wepi watakuwa funguo? Hawa hawa wanapenda kibao cha "kuna nazi kati kwa kati?"
 
Andiko lako linazunguka sana
 
Kuna Mtu mmoja alizungumza mahali fulani akasema kwamba hao wazungu tunaowaona leo huko Ulaya wanaishi kwa amani na utulivu kuna siku zinakuja huko kwao hakutakalika...kwa sababu wamewakaribisha wageni na wageni wanazaliana na kuongezeka kuwa na nguvu.

Kwa hiyo miaka kadhaa ijayo wageni na dini yao ndio watatamalaki na kuanza kutesa na kuua wenyeji (wazungu) hali itakayopelekea wazungu wengi sana kukimbilia nchi za kiafrika hasa nchi zisizofungamana na upande wowote ikiwemo Tanzania na baadhi yao watapewa ukimbizi na baada ya muda mrefu watakuwa raia na kuendelea na shughuli zao za kiuchumi kama kawaida...

Tusishangae miaka kadhaa ijayo Afrika tunayodhania ni ya weusi ikaja kuwa na mchanganyiko wa watu wa aina tofauti...pia Ulaya tunayoifahamu ambayo imejaa wakristo ikaja kuwa Ni mataifa ya kiislamu....
 
Mara vita ya kristu, mara Mungu ibariki Tanzania

Unajichanganya…. Ipange vyema
 
Hilo tayari wamelijua,

Ndio maana waarabu na mataifa mengine yanajaribu kununua ardhi kwa Kasi Africa,

Na Tanzania inatamaniwa sana maana huku pekee ndipo athari hazitakuwa kubwa kama kwingine.
 
Nikupitishe kwenye maandiko kidogo!.

1. Siku na saa hajui mtu yeyote , ni siri ya Baba​

  • Mathayo 24:36“Lakini kuhusu siku ile au saa hiyo hakuna ajuaye, wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.”
  • Marko 13:32 “Lakini kuhusu siku ile au saa hiyo hakuna ajuaye, wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba.”

2. Majira na nyakati ni siri ya Mungu​

  • Matendo ya Mitume 1:7 “Si kazi yenu kujua nyakati wala majira ambayo Baba ameweka kwa mamlaka yake mwenyewe.”

3. Siku ya Bwana itakuja kwa ghafla​

  • 1 Wathesalonike 5:2 “Siku ya Bwana huja kama mwivi ajavyo usiku.”
  • 2 Petro 3:10 “Siku ya Bwana itakuja kama mwivi... na vitu vyote vitateketezwa kwa moto.”

4. Wito wa kujiandaa kila wakati​

  • Mathayo 24:42 “Kesheni basi, kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.”
  • Mathayo 25:13“Kesheni basi, kwa kuwa hamjui siku wala saa.”

    🕊 Ujumbe wa Leo
    Tusitafute tarehe au ishara zisizo sahihi kuhusu mwisho wa dunia. Badala yake, tukae tayari kila wakati, tukiishi kwa utakatifu, upendo, na imani thabiti kwa Yesu Kristo. Siku ile itakuja kwa ghafla je, tuko tayari?

-C&P Chavalikungu PhD



 
Ndugu umeandika na kunukuu mwenyewe kuwa,

SIku na saa ndio haijulikani,

Lakini majira na nyakati wanafunzi walimwuiliza Yesu na kuwaarifu majira.

Sasa usichoelewa ni nn?
 
Operesheni Ajax (pia inajulikana kama Operation TP-AJAX) ilikuwa ni mpango wa siri wa CIA (Marekani) na MI6 (Uingereza) mwaka 1953, uliolenga kumwondoa madarakani Waziri Mkuu wa Iran, Mohammad Mossadegh, na kumrejesha Shah wa Iran, Mohammad Reza Pahlavi, kama mtawala mwenye mamlaka kamili.


Sababu za Operesheni:​


  1. Utaifishaji wa mafuta:
    Mossadegh aliamua kutaifisha Kampuni ya Mafuta ya Uingereza na Iran (AIOC), ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Uingereza. Hii ilisababisha hasira kwa serikali ya Uingereza, kwani walipoteza udhibiti wa mafuta ya Iran.
  2. Hofu ya Usoshalisti:
    Marekani ilihofia kuwa Iran ingegeuka kuwa serikali ya Kisoshalisti au kirafiki na Umoja wa Kisovyeti, hasa wakati wa Vita Baridi (Cold War).
  3. Maslahi ya kiuchumi na kisiasa:
    Mataifa ya Magharibi yalitaka kulinda maslahi yao ya mafuta na kuzuia Iran kuwa huru kisiasa na kiuchumi.



Namna Operesheni Ilivyofanyika:​


  • CIA na MI6 walipanga kampeni ya propaganda, walinunua wanasiasa, maafisa wa kijeshi, na waandishi wa habari, na kuchochea ghasia mitaani.
  • Mnamo Agosti 1953, baada ya jaribio la kwanza kushindwa, jeshi la Iran lilimwondoa Mossadegh na kumrudisha Shah kutoka uhamishoni.
  • Mossadegh alikamatwa, alihukumiwa kifungo cha nyumbani hadi alipofariki.



Matokeo:​


  1. Shah alitawala kama mfalme wa kiimla (dictator) kwa miongo miwili hadi mapinduzi ya Kiislamu ya 1979.
  2. Wairani wengi waliona Marekani kama mchokozi, jambo lililochangia chuki dhidi ya Marekani baadaye.
  3. Operesheni hii inachukuliwa leo kama mfano wa kuingilia kwa Marekani katika siasa za mataifa mengine, na imekuwa somo kubwa katika historia ya ujasusi na siasa za kimataifa.
 
umeandika ujinga mtupu....ya kwetu yanatushinda...kazi kujifanya tunajua ya wengine kuliko hata wao wanavyoyajua....
 
umeandika ujinga mtupu....ya kwetu yanatushinda...kazi kujifanya tunajua ya wengine kuliko hata wao wanavyoyajua....
Ya kwetu yametushinda vp ilhal nakwambia nchi hii itapokea wakimbizi kutoka duniani kwote?

Kwamba Dola la Afrika, headquarters itakuwa ni hapa Nchini?


Huyajui hayo?
 
Ya kwetu yametushinda vp ilhal nakwambia nchi hii itapokea wakimbizi kutoka duniani kwote?

Kwamba Dola la Afrika, headquarters itakuwa ni hapa Nchini?


Huyajui hayo?
huoni kama umeandika ujinga..... we umeyajulia wapi...ina maana wewe unaijua mashariki ya kati kuliko raia wenyewe wa mashariki ya kati....na unaelezea upuuzi wako kwa confidence kabisa ...wakati unweza kuta hata kenya tu hapo jirani hujawah fika
 
huoni kama umeandika ujinga..... we umeyajulia wapi...ina maana wewe unaijua mashariki ya kati kuliko raia wenyewe wa mashariki ya kati....na unaelezea upuuzi wako kwa confidence kabisa ...wakati unweza kuta hata kenya tu hapo jirani hujawah fika
Nini kimekupata Hadi udhani umesoma ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…