Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

Haya mambo kiukweli yanakanganya sana, Hadi nabii Daniel alikiri hakuna aijuaye siku ya mwisho ila Mungu pekeyake.
 
Haya mambo kiukweli yanakanganya sana, Hadi nabii Daniel alikiri hakuna aijuaye siku ya mwisho ila Mungu pekeyake.
Ni kweli,

Siku na saa haijulikani,

Ila majira yatufunze.

Mfano hili la pope kutokea Mji uitwao babeli Mkuu ( marekn)

Ni ishara kubwa pia,

Maana wanashirikiana kuratibu utawala ule wa mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…