pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #181
Hapo awali aliitwa Magufuli, na wanahabari, sio kwa sifa nzuri, bali ni kwasababu walichukizwa sana na ubabe wake. Sasa hivi hata Matiang'i mwenyewe ukimuita Magufuli lazima atakuzaba kofi kwa kumdhalilisha.Kwanini Matiang'i mumempa jina la Magufuli wa Kenya?
Hahaha..Who is Wanjiru?Taki taki taki taki rumba.wanjiru's fav.son'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muy bien.
Nitamsalimia.
ha!umemsahau? Kumbe hukusoma Kenya πHahaha..Who is Wanjiru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlaumu, alisomea kule mashinani Siakago Girls Day/Boarding Secondary School & Lodging(Nightime). [emoji1] Bado anarecover.ha!umemsahau? Kumbe hukusoma Kenya
Hiyo rada Mbona haijaonyesha wakati ndege inaingia Nairobi Kenya kwa Mara ya kwanza ilitokea wapi? Au siku zote huwa ipo jkia Nairobi?,maana rada imeonyesha ikitoka Nairobi kuja kuzunguka Kilimanjaro then kurudi Nairobi,au rada zilikuwa off wakati inaingia Kenya kwa Mara ya kwanza? Au ni uhuni tu kuwachanganya watu? Tunataka full route since day one inapokuja uko Kama Hakuna basi ni uhuni tu huo.
The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
Tanzania ni nchi ya hovyo kuwahi kutokea katika uso wa dunia , huyu mpuuzi Magufuli hana analolijua ila ubabe , roho mbaya na kufanya mambo kimihemko tu .
Ama kweli mnyapala wa wabeba mizigo hafai kufanywa kuwa rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yaani hii thread imejaa sarcasm. lolUsimlaumu, alisomea kule mashinani Siakago Girls Day/Boarding Secondary School & Lodging(Nightime). [emoji1] Bado anarecover.
UsengeUsenge kama huu muwe mnakaa nao vyumbani mwenu>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.
Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.
Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Yeroo subaiiUsimlaumu, alisomea kule mashinani Siakago Girls Day/Boarding Secondary School & Lodging(Nightime). [emoji1] Bado anarecover.
Achana na huyo mshamba wa kimasai, bado hata Nai haijui vizuri. Ila kama unataka tiba za mitishamba mtafute...[emoji2]Hahaha yaani hii thread imejaa sarcasm. lol
Minyii! π Mimi sio mmaasai jombaa ila nawaelewa sana hao ndugu zangu.
Hivyo ndio vitu ambavyo mlifunzwa kule Siakago Girls? πAchana na huyo mshamba wa kimasai, bado hata Nai haijui vizuri. Ila kama unataka tiba za mitishamba mtafute...[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
OK, nimekuelewa, Kwahiyo mtu akitenda kazi vizuri kwenu mnaita ubabe Sio?, sasa huo ubabe Ndio uliomfanya mpaka akubalike kuwa the best CS, na hivyo hivyo Ndio kinachomfanya Magufuli kuwa best president in Africa, year in, year out.Hapo awali aliitwa Magufuli, na wanahabari, sio kwa sifa nzuri, bali ni kwasababu walichukizwa sana na ubabe wake. Sasa hivi hata Matiang'i mwenyewe ukimuita Magufuli lazima atakuzaba kofi kwa kumdhalilisha.
Haa wapi... KLM wanakodokea macho ndege zaoBoss, mnalemewa na maintainance ya ndege saba tu na hasara juu yake. Vibali vya kutua tu kwenye uwanja wa ndege kwa zile route hewa ambazo huwa mnajisifia nazo humu kila uchao hampewi. Ingekuwa ni nyinyi ndio mna'operate' ndege 40 kama hizi hapa chini za KQ, si zote zingechakaa?
Wacha dharau. Tupo nchi gani? Kwani Bullet teen ina speed gani? Zote zinaanzia 160km/h/250km/h. Na TANZANIA wanajenga ya umeme ya 160-200 km/hBullet trains kwa miundo mbinu ipi. Na hiyo hela ya kununua bullet train iko wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa, unajua KLM wana shares asilimia ngapi KQ? Tuanze hapo.
Watch it! Sijaribiwi mimi. Ukijaribu kunipangia ndio utakuwa umeharibu kabisa. Fomu nilichukua mimi mwenyewe! Mimi ndio rais! [emoji1]OK, nimekuelewa, Kwahiyo mtu akitenda kazi vizuri kwenu mnaita ubabe Sio?, sasa huo ubabe Ndio uliomfanya mpaka akubalike kuwa the best CS, na hivyo hivyo Ndio kinachomfanya Magufuli kuwa best president in Africa, year in, year out.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe yeye ni daktari wa kienyeji pale kajiado town πππAchana na huyo mshamba wa kimasai, bado hata Nai haijui vizuri. Ila kama unataka tiba za mitishamba mtafute...[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app