Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Kwanini Matiang'i mumempa jina la Magufuli wa Kenya?
Hapo awali aliitwa Magufuli, na wanahabari, sio kwa sifa nzuri, bali ni kwasababu walichukizwa sana na ubabe wake. Sasa hivi hata Matiang'i mwenyewe ukimuita Magufuli lazima atakuzaba kofi kwa kumdhalilisha.
 
Hiyo rada Mbona haijaonyesha wakati ndege inaingia Nairobi Kenya kwa Mara ya kwanza ilitokea wapi? Au siku zote huwa ipo jkia Nairobi?,maana rada imeonyesha ikitoka Nairobi kuja kuzunguka Kilimanjaro then kurudi Nairobi,au rada zilikuwa off wakati inaingia Kenya kwa Mara ya kwanza? Au ni uhuni tu kuwachanganya watu? Tunataka full route since day one inapokuja uko Kama Hakuna basi ni uhuni tu huo.

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.

Ahaaa haaa haaa
Hongera sana bro KWA kuuliza swali hilo.
Maana nani ana uhakika wa kuwa hiyo ni picha ya rada inayoonesha ndege ATCL ikiruka maeneo hayo?
 
Tanzania ni nchi ya hovyo kuwahi kutokea katika uso wa dunia , huyu mpuuzi Magufuli hana analolijua ila ubabe , roho mbaya na kufanya mambo kimihemko tu .

Ama kweli mnyapala wa wabeba mizigo hafai kufanywa kuwa rais

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
Tuma salamu basi, maana hesabu mpaka 2025. Yeye ni yule yule.
 
>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.

Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.

1553891974384-png.1057685

Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.

Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
UsengeUsenge kama huu muwe mnakaa nao vyumbani mwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo awali aliitwa Magufuli, na wanahabari, sio kwa sifa nzuri, bali ni kwasababu walichukizwa sana na ubabe wake. Sasa hivi hata Matiang'i mwenyewe ukimuita Magufuli lazima atakuzaba kofi kwa kumdhalilisha.
OK, nimekuelewa, Kwahiyo mtu akitenda kazi vizuri kwenu mnaita ubabe Sio?, sasa huo ubabe Ndio uliomfanya mpaka akubalike kuwa the best CS, na hivyo hivyo Ndio kinachomfanya Magufuli kuwa best president in Africa, year in, year out.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss, mnalemewa na maintainance ya ndege saba tu na hasara juu yake. Vibali vya kutua tu kwenye uwanja wa ndege kwa zile route hewa ambazo huwa mnajisifia nazo humu kila uchao hampewi. Ingekuwa ni nyinyi ndio mna'operate' ndege 40 kama hizi hapa chini za KQ, si zote zingechakaa?
tapatalk_1552293334614-jpeg.1053964
Haa wapi... KLM wanakodokea macho ndege zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK, nimekuelewa, Kwahiyo mtu akitenda kazi vizuri kwenu mnaita ubabe Sio?, sasa huo ubabe Ndio uliomfanya mpaka akubalike kuwa the best CS, na hivyo hivyo Ndio kinachomfanya Magufuli kuwa best president in Africa, year in, year out.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watch it! Sijaribiwi mimi. Ukijaribu kunipangia ndio utakuwa umeharibu kabisa. Fomu nilichukua mimi mwenyewe! Mimi ndio rais! [emoji1]
 
Back
Top Bottom