pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #181
Hapo awali aliitwa Magufuli, na wanahabari, sio kwa sifa nzuri, bali ni kwasababu walichukizwa sana na ubabe wake. Sasa hivi hata Matiang'i mwenyewe ukimuita Magufuli lazima atakuzaba kofi kwa kumdhalilisha.Kwanini Matiang'i mumempa jina la Magufuli wa Kenya?