Ndio maana nilishasema nikienda LA Mange nilazima nmtie,Yule shorry anasumbuliwa na nyege. ...Yaani yeye uvumi wowote kwake ni taarifa rasmi...hizo hua ni dalili Za kutokupigwa miti vizurIla Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
Ashaondoka huyu ? Nilikuwa nataka bondia wa kunipiga mangumiAcha mzaha boss, unamaanisha mwendazake Lucy Kibaki? [emoji15]
Acha uhuni jombaa, jaribu kuwa na huruma bana. [emoji1]
Kinanuka sababu mna weak intelligence & a corrupt army, hiyo ndege mnapoteza nguvu bure kuiclaim, time will tell, itajulikana tu, mean while our seond aircraft like that one, inatengenezwa, soon inakuja bongo, kwanini wauze hiyo, customers turnout inaongezeka, buda, wait and see, this is new Tz. Air shows sio lazima zijulikane, inaweza ikawa kuna client wanataka model kama hiyo, bearing in mind, hiyo ni pekee hapa africa, mambo ya aviation makubwa sana your shallow minds to comprehend, wacha niwaache na umbulula wenyu.Labda ni ile A.S.K Show ya ukulima, na hiyo nayo inakuwaga ni mwezi wa kumi. Hahaa! 😀 Hawa watani wetu huwa wanabebwa kimaandas sana na hii serikali yao na mashirika yake ya umma. Ingekuwa ni wakenya ndio wanauliza maswali kama haya, alafu eti wajibiwe kimzaha mzaha hivi, bila shaka lazima 'kingenuka'.
Wewe nawe wacha ujinga, hii acquisition haiwezi kufichika. Mnadhihirisha mlivyo nyumbu.Watnzania wenzangu ni kama makondoo, akili hamna wanaringia ukubwa wa mkia
Hakuna linalomtokea mtu puani, its just your ill devilish wish which wont come to fruition.Tusiijingize kwenye uchafu huu wao, hayo mavitu waliyanunua kwa mihemko yanaanza kuwatokea puani, hakuna kitu ambacho wao hugusa kinasimama bila kuangukia pua.
Nangoja utuache na umburula wetu ila comments zako zinavoendelea kutiririka humu, moja baada ya nyingine, inaashiria wazi kwamba bado upo tu hapa duniani pamoja na sisi mamburula wenzako. 😀Kinanuka sababu mna weak intelligence & a corrupt army, hiyo ndege mnapoteza nguvu bure kuiclaim, time will tell, itajulikana tu, mean while our seond aircraft like that one, inatengenezwa, soon inakuja bongo, kwanini wauze hiyo, customers turnout inaongezeka, buda, wait and see, this is new Tz. Air shows sio lazima zijulikane, inaweza ikawa kuna client wanataka model kama hiyo, bearing in mind, hiyo ni pekee hapa africa, mambo ya aviation makubwa sana your shallow minds to comprehend, wacha niwaache na umbulula wenyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehehehee. New Tanzania. Nchi ya kusadikikaKinanuka sababu mna weak intelligence & a corrupt army, hiyo ndege mnapoteza nguvu bure kuiclaim, time will tell, itajulikana tu, mean while our seond aircraft like that one, inatengenezwa, soon inakuja bongo, kwanini wauze hiyo, customers turnout inaongezeka, buda, wait and see, this is new Tz. Air shows sio lazima zijulikane, inaweza ikawa kuna client wanataka model kama hiyo, bearing in mind, hiyo ni pekee hapa africa, mambo ya aviation makubwa sana your shallow minds to comprehend, wacha niwaache na umbulula wenyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bullet trains kwa miundo mbinu ipi. Na hiyo hela ya kununua bullet train iko wapSasa badala ya ndege nzuri hivi kupata kutu, si afadhali wauze nusu bei waliyonunua ili watumie hizo hela kununua bullet trains.
ichoboy01, Wyatt Mathewson
trolling level : kindergartenIla Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
Hiyo hatuitaki wakafugie kuku....
?? Joke's on you, aluminum na titanium havipati kutu
Ilikodiwa na nani?>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.
Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.
Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Ndio maana nilishasema nikienda LA Mange nilazima nmtie,Yule shorry anasumbuliwa na nyege. ...Yaani yeye uvumi wowote kwake ni taarifa rasmi...hizo hua ni dalili Za kutokupigwa miti vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't kill the messenger, analyse the message. .....and start haggling for the price! [emoji1]trolling level : kindergarten
messenger wa mange kimambi must die, tunaweza ishi na watu woote kasoro mange kimambe's puppets. DieeeeeDon't kill the messenger, analyse the message. .....and start haggling for the price! [emoji1]
Sifahamu, nimeweka tuu habari waliyoiripoti ATCL.Ilikodiwa na nani?
Mimi sio mtanzania jombaa, ni nyang'au flani tu ambaye amesikia kwamba kuna kabiashara kananukia, ndege kwa bei nusu. Relax.messenger wa mange kimambi must die, tunaweza ishi na watu woote kasoro mange kimambe's puppets. Dieeeee
Mimi sio mtanzania jombaa, ni nyang'au flani tu ambaye amesikia kwamba kuna kabiashara kananukia, ndege kwa bei nusu. Relax.