Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
tapatalk_1553878376016-jpeg.1057465
Ndio maana nilishasema nikienda LA Mange nilazima nmtie,Yule shorry anasumbuliwa na nyege. ...Yaani yeye uvumi wowote kwake ni taarifa rasmi...hizo hua ni dalili Za kutokupigwa miti vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ni ile A.S.K Show ya ukulima, na hiyo nayo inakuwaga ni mwezi wa kumi. Hahaa! 😀 Hawa watani wetu huwa wanabebwa kimaandas sana na hii serikali yao na mashirika yake ya umma. Ingekuwa ni wakenya ndio wanauliza maswali kama haya, alafu eti wajibiwe kimzaha mzaha hivi, bila shaka lazima 'kingenuka'.
Kinanuka sababu mna weak intelligence & a corrupt army, hiyo ndege mnapoteza nguvu bure kuiclaim, time will tell, itajulikana tu, mean while our seond aircraft like that one, inatengenezwa, soon inakuja bongo, kwanini wauze hiyo, customers turnout inaongezeka, buda, wait and see, this is new Tz. Air shows sio lazima zijulikane, inaweza ikawa kuna client wanataka model kama hiyo, bearing in mind, hiyo ni pekee hapa africa, mambo ya aviation makubwa sana your shallow minds to comprehend, wacha niwaache na umbulula wenyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiijingize kwenye uchafu huu wao, hayo mavitu waliyanunua kwa mihemko yanaanza kuwatokea puani, hakuna kitu ambacho wao hugusa kinasimama bila kuangukia pua.
Hakuna linalomtokea mtu puani, its just your ill devilish wish which wont come to fruition.
I know Tz inawatia joto sana, venye tunakwenda juu, mnaipenda mnaitaka pia, but you cant have it, therefore you hate, hence mnabaki confused.

Bongo nyoso walahi. We need haters like y'all though, ndio mtazidi tutia hamasa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinanuka sababu mna weak intelligence & a corrupt army, hiyo ndege mnapoteza nguvu bure kuiclaim, time will tell, itajulikana tu, mean while our seond aircraft like that one, inatengenezwa, soon inakuja bongo, kwanini wauze hiyo, customers turnout inaongezeka, buda, wait and see, this is new Tz. Air shows sio lazima zijulikane, inaweza ikawa kuna client wanataka model kama hiyo, bearing in mind, hiyo ni pekee hapa africa, mambo ya aviation makubwa sana your shallow minds to comprehend, wacha niwaache na umbulula wenyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nangoja utuache na umburula wetu ila comments zako zinavoendelea kutiririka humu, moja baada ya nyingine, inaashiria wazi kwamba bado upo tu hapa duniani pamoja na sisi mamburula wenzako. 😀
 
Kinanuka sababu mna weak intelligence & a corrupt army, hiyo ndege mnapoteza nguvu bure kuiclaim, time will tell, itajulikana tu, mean while our seond aircraft like that one, inatengenezwa, soon inakuja bongo, kwanini wauze hiyo, customers turnout inaongezeka, buda, wait and see, this is new Tz. Air shows sio lazima zijulikane, inaweza ikawa kuna client wanataka model kama hiyo, bearing in mind, hiyo ni pekee hapa africa, mambo ya aviation makubwa sana your shallow minds to comprehend, wacha niwaache na umbulula wenyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tehehehee. New Tanzania. Nchi ya kusadikika
 
>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.

Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.

1553891974384-png.1057685

Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.

Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Ilikodiwa na nani?
 
messenger wa mange kimambi must die, tunaweza ishi na watu woote kasoro mange kimambe's puppets. Dieeeee
Mimi sio mtanzania jombaa, ni nyang'au flani tu ambaye amesikia kwamba kuna kabiashara kananukia, ndege kwa bei nusu. Relax.
 
Back
Top Bottom