eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
?? Joke's on you, aluminum na titanium havipati kutu
Hajui metal zinazo resist oxidation.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
?? Joke's on you, aluminum na titanium havipati kutu
Unless it is pure titanium. Ka ina alloys then it's prone to corrosion /oxidation.Hajui metal zinazo resist oxidation.
Hapo nime highlight , hilo si jibu, huyo mkurugenzi wa ATCL amejibu hypothetically kwamba ndege ya ATCL inaeza kuonekana popote duniani na itakua inafanya biashara... Hii inamaanisha either hajui ilikua inafanya nini huku Nairobi au alikua hataki kujibu akatoa vague statement kwamba kila iendako lazima itakua inafnya biashara........ Hajajibu ilikua inafanya nini Nairobi haswa! manake mbali na alichosema kuna sababu nyingi za ndege kusafiri eneo ambalo hua kawaida haisafiri...
Ni kama vile mimi nishikwe na polisi na waniambie pickup yangu imetumika kwa wizi.... kitu cha kwanza bila kujua kama ni ukweli au uongo, nitajibu kwa kusema gari yangu hutumika na watu wengi kibiashara kwahivyo lazima ilikua imekodishwa kibiashara kwahivyo wasini husishe na wizi wa aina yoyote.... hapo nitakua nimejibu hypothetically kwasababu sijui kinachoendelea na nataka kujiondolea lawama, ama najua kinachoendelea lakini sitaki polisi wanishike kwahivyo najifanya sijui..... huyo mkurugenzi wa ATCL amejitetea ki hivyo
Unless it is pure titanium. Ka ina alloys then it's prone to corrosion /oxidation.
Iron rusts.Other metals corrode.
Acheni kujifanya eti nyie ndio mmesoma kuhusu metals peke yenu. Bure nyinyinyinyi!
Si imenyimwa kibali ndege ni mpya first in Africa kuna taratibu zake iweze kutua!
ivi kumbe kachorea rangi ya nyumba?Jamaa alishakula chake cha udalali saizi katulia tuli anabak kuchorachora ndege na rangi za nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app

tunanywea chai saizHahaha! 😀 Eti kubeba korosho. Hivi ile dili ya korosho mliifanikisha? Maanake zile nyuzi nyingi za koroshow sikuhizi huwa sizioni humu.
Write it properly. Ferrous.Ahaaa haaa haaa
But do you know the core DNA of applying alloys on other metals like feruos!!?
Hiyo feruos labda ni ile ya metallurgy ambayo alisomea Siakago, Embu County. 😀Write it properly. Ferrous.
Moja ni kuzuia corr
Did you study metallurgy in Chicago?
Hahahaha lolHiyo feruos labda ni ile ya metallurgy yake ambayo alisomea Siakago, Embu County. 😀
Hamna cha taratibu wala nini, hiyo siyo ndege ya kwanza ya aina hiyo kutua hapa Afrika. Kuna mashirika mengine ya kimataifa ambayo yana ndege kama hizo na zina vibali vya kutua hapa Afrika. Vibali havipatikani bure, ni nipe nikupe. Tena lobbying inahitajika sio kujifungia tu ndani na majungu dhidi ya mashirika mengine alafu unategemea wenye mashirika hayo serikali zao zitawapa vibali virahisi.
Hiyo feruos labda ni ile ya metallurgy ambayo alisomea Siakago, Embu County. 😀
Hamna ndege ya A220-300 inatua commercial at JKIA as civilian flight. Halafu mue waangalifu JPM hajaribiwi mkizuia Air Tanzania kutua Nairobi or Mombasa ama anywhere in Kenya, muwe tayari for the ban on KQ from landing anywhere within Tanzania as reciprocation.Hamna cha taratibu wala nini, hiyo siyo ndege ya kwanza ya aina hiyo kutua hapa Afrika. Kuna mashirika mengine ya kimataifa ambayo yana ndege kama hizo na zina vibali vya kutua hapa Afrika. Vibali havipatikani bure, ni nipe nikupe. Tena lobbying inahitajika sio kujifungia tu ndani na majungu dhidi ya mashirika mengine alafu unategemea wenye mashirika hayo serikali zao zitawapa vibali virahisi.
Same place, different continents. 😎 Infact even the beautiful girls in Siakago have Chicago swag. They will tell you 'my name is Riri'. .....[emoji15] 'No, not Rhihana, Ririan'. [emoji1]Huh sasa mnaanza kunipoteza. ... Siakago sounds like Chicago you know
Hamna cha taratibu wala nini, hiyo siyo ndege ya kwanza ya aina hiyo kutua hapa Afrika. Kuna mashirika mengine ya kimataifa ambayo yana ndege kama hizo na zina vibali vya kutua hapa Afrika. Vibali havipatikani bure, ni nipe nikupe. Tena lobbying inahitajika sio kujifungia tu ndani na majungu dhidi ya mashirika mengine alafu unategemea wenye mashirika hayo serikali zao zitawapa vibali virahisi.
Kwahivyo hiyo ya Air Tz ilitua Nairobi National Park?Hamna ndege ya A220-300 inatua commercial at JKIA as civilian flight. Halafu mue waangalifu JPM hajaribiwi mkizuia Air Tanzania kutua Nairobi or Mombasa ama anywhere in Kenya, muwe tayari for the ban on KQ from landing anywhere within Tanzania as reciprocation.
Write it properly. Ferrous.
Moja ni kuzuia corr
Did you study metallurgy in Chicago?
Hamna ndege ya A220-300 inatua commercial at JKIA as civilian flight. Halafu mue waangalifu JPM hajaribiwi mkizuia Air Tanzania kutua Nairobi or Mombasa ama anywhere in Kenya, muwe tayari for the ban on KQ from landing anywhere within Tanzania as reciprocation.
Kwahivyo hiyo ya Air Tz ilitua Nairobi National Park?
Alafu wakenya huwa hatuna majungu ya aina hiyo, ATCL itue au isitue JKIA hamna tofauti yeyote. Ila mjue KQ ni member wa SkyTeam. Ubabe wake angani sio wa Nairobi na Mombasa pekee yake. Mkianza bifu na KQ anga za member wengine wa SkyTeam kama Delta, China Eastern, China Airlines, KLM, Saudia, Czech hamtazinusia.